المدة الزمنية 4:9

FULLTIME: SIMBA SC 3 - 0 Mwadui FC. Haya hapa magoli yote

بواسطة Simba SC Tanzania
489 417 مشاهدة
0
2.8 K
تم نشره في 2020/06/20

SIMBA SC 3 - 0 Mwadui FC. Haya hapa magoli yote

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 284
  • @
    @kayandaabwe29764 years ago Mm ni shabiki wa yanga hila nimefurahi kumwona ndemla maana nampenda sana 9
  • @
    @barackmoses70034 years ago Sishangai mabao ya simba maana ni kawaida ya simba kufunga nashangaa kiwango alichokionyesha ndemla 💪👏👏👏 47
  • @
    @erickjuma76434 years ago Na hapa Kenya bado watu wamefungiwa kama kuku. That commentator is a hero 5
  • @
    @albetochenga38874 years ago Mungu azidi kutubaliki kwakila mchezo tupate ushindii. Simbaaa oyeeeee! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 7
  • @
    @rkplatnumzrkplatnumz63394 years ago Kiukweli simba yangu ipo vzr kuna mda mnacheza vzr kuwashinda hadi Tim za uraya 2
  • @
    @chieframaramadhansadiki46254 years ago Ndemla kwa kazi nzuri ya leo, naweza kumwita profesa Said Hamis Juma Ndemla 🤣❤️ 50
  • @
    @fredymjindoseverine12804 years ago Kama umegundua magoli yote mpira umeguswa na Santos na mikson...nipe like 2
  • @
    @majidhamed3594 years ago Simba bila kushinda silagi chakula kabisa like kama hulagi na wewe 70
  • @
    @kazauram2ku2654 years ago Kama umefrahia kucheza kwa mlipili km mimi gonga like apa 76
  • @
    @snakeboy12254 years ago Haya ndo mambo sasa sio kila tukitaka marudio hadi tuakaongeze Views azamtv tutabanana hapa wana simba. Hakika hili ni jambo kubwa sana katika ushabiki wangu 🙏😃😃 29
  • @
    @muddydamdeok50984 years ago Good Job My BeSt teAm 3
  • @
    @uwezowamunguutendaokazi30434 years ago Amen amen. MUNGU MKUU yupo nasi daima. Barikiwa nyote. Amen.
  • @
    @lusajodaimon27804 years ago Ndemla kacheza vzur sana pia mlipili aanzishwe na wawa au nyoni maoni 2
  • @
    @MsuyaMsuyaJr4 years ago Ndemla kafanya kaz kubwa san hongera! Kwake 2
  • @
    @allymaongez63234 years ago Ahsante Sana wanangu wa msimbazi kwa kutu furahisha,na kuwa kalisha kimya utopolo fc au gongo wazi
  • @
    @dutchsafari75624 years ago Wangapi wameona vizuri Fraga akikata umeme dk halafu ndemla akimla mtu dk 3
  • @
    @kassimmwamchua48664 years ago Ndemla's perfomance was outstanding 3
  • @
    @sonymiles44894 years ago Ahsante sana kwa kutusogezea mambo mazur 2
  • @
    @kinguyejumanne98914 years ago Kama umefurahii kumuona ndemla gonga like hapa na yusuph mlipiri 10
  • @
    @josephstima54344 years ago Ndemla apewe Demu jamani au mnasemaje....halafu huyo Konde Boy Miquisone kahusika magoli yote matatu...big up
  • @
    @irenepyemba48944 years ago nguvu moja safi ndemla na fraga cjuii unamchagua nani af anglia bao la kwnz kaz nzur ya fraga sven mpangee bhnaa 2
  • @
    @shabanmzeru1304 years ago ndemlaaa nime iyona kazi yake pale katiiiiiiiiiii.......... 27
  • @
    @valyagraphicstz7994 years ago Sema dilunga ni motooo
    Simba damuuu
    1
  • @
    @mwinyimgawe96644 years ago Asante chama langu maana hii game niliikosa kuangalia kwa TV
  • @
    @mohamedidd31614 years ago Kama umesikia kirikuu tujuane hapa kwa like 19
  • @
    @shedy_marie4 years ago Nashindwa niseme nn furaha niyonayo moyon mwangu kwakwel cjakosea kupenda mpira furah yangu ni simba asante san kwa ushind mnono yan sina usingiz hapa mungu wangu endelea kuwaongoza vijana wako kwa jina laYesu 2
  • @
    @mafiaclic25444 years ago Vizuri kabisa kutupia contents kwenye YouTube channel ya Simba
  • @
    @alfanmkulo27924 years ago Boko ninachompendea sio mchoyo alikuwa na uwezo wa kufunga mwenyewe 17
  • @
    @richardmallya39064 years ago Simba sc Tanzania ndio club bora kwa sasa Africa ya Mashariki.
  • @
    @matatizokatwange82164 years ago Simba kushinda ni jadi yetu lakini kutoa sare ama kupoteza ni bahati mbaya
    Simba nguvu moja
  • @
    @evancej3714 years ago Simba nizaid ya clabu yeyote hapa bongo sema kocha wao ndo hajajua kupanga kikosi chake ila Simba ipo vizur sana 1
  • @
    @husseinkonz51924 years ago Halafu anatokea mlevi aseme ubingwa simba haitachukua 2
  • @
    @wilsonnsalanje78414 years ago Kirikuuu. Mjanja saaana. Konde boooooy
  • @
    @davismweli24354 years ago Kocha endelea kuwapa nafasi vijana wetu wazawa wanaweza fanya kitu kizuri zaidi ya leo. Kongore zakutosha kwako Ndemla umegawa upendo mwingi sana pale kati. Nguvu moja SSC
  • @
    @vickyedwin25034 years ago Simba ni timu kubwa,Mungu atujalie ubingwa
  • @
    @kingkube50004 years ago Kilikuuuuuu ahaaaaa😂😂 wewe mtangazaji una batiza 1
  • @
    @josephvenus32594 years ago Luis , anajua sana huyu dogo. Kila goli amehusika kiukweli. Ndelmla ndio mwenyewe. Flaga kaua kabisa. Kiujumla Simba Leo mmecheza kitimu kweli
  • @
    @zabronnkoy49084 years ago Fraga hana mambo mengi yeye ni kazi tu
  • @
    @marianamonique9634 years ago Eti nani anaweza kusema simba ataweza kushikwa sharubu akiwa nyumbani? Hahahahahaaaaaaa 2
  • @
    @emmanuelmussa83314 years ago Luis Jose misquissone ni hatari sana huyo mtoto 4