المدة الزمنية 13:40

SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO

بواسطة G Online
1 387 مشاهدة
0
45
تم نشره في 2021/06/18

Jifunze sababu 6 kwanini kufeli ni vizuri kwa mafanikio yako maisha. Wote sisi tunaota na kutaka mafanikio na kufika mbali, lakini kuna yoyote kati yetu alishawahi kuota kufeli au ni jinsi gani kufeli kutaweza kututengeneza sisi kufanikiwa? Wengi hapa jibu litakuwa HAPANA, wengi wetu hatupendi kufeli.Nina uhakika at some point ulishawahi kufeli katika jambo Fulani ambalo ilikuenda sawa kwenye, youtube, podcast, malengo, mtihani wa mwisho shule na inakuwa rahisi kukata tamaa when things don’t work out/ kama viu havikuenda sawa.Lakini vipi kama vitu/mambo yangekuwa rahisi kufanikisha tungeshindwa kujua umuhimu wa kufeli. Kufeli haimaanishi kuwa ujafanya kazi kwa bidi, rahisi inamaanisha unahitaji kuchukua approach, hatua au njia zingine kufanikisha unachokitaka. Subiri tuangalie kwanini kufeli ni vizuri kufanikisha mafanikio.Karibu 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/ 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa https://www.tubebuddy.com/Gonline ... 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉/watch/Ux-K_xwrNK8rK ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 /watch/4dNcHRy3fXF3c ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Kufeli #Mafanikio #Zahirgomelo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3