المدة الزمنية 3:51

JINSI YA KUPIKA KUKU WA KUKAANGA NA SAUCE YAKE

بواسطة Mapishi na Amanda
5 837 مشاهدة
0
33
تم نشره في 2020/08/04

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika kuku wa kukaanga na sauce yake mahitaji vipande vya kuku ginger garlic paste iliyochanganywa na parsley chicken masala oregano plain yogurt unga wa iriki chumvi kwa mahitaji yako soy sauce mamasita oyster sauce tomato ketchup paprika kuku hawa unaweza kuwala kama chakula cha mchana au jioni, na kinaserviwa na chips, ndizi mzuzu au hata wali au ugali. karibu tupike wote, kuna mengi ya kujifunza, niwekee comment yako hapo chini ili nijifunze pia kutoka kwako na usisahau kulike, kama ni mara yako ya kwanza subscribe channel yetu ili tuwe pamoja kwenye ulimwengu wa mapishi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4