المدة الزمنية 7:1

JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako

بواسطة G Online
4 418 مشاهدة
0
104
تم نشره في 2019/12/23

Jifunze jinsi ya kutimiza malengo yako mwaka 2020, kanuni 3 hizi ninazo share na wewe lazima uzifuate kama unataka timiza/kufanikisha malengo/ndoto yako. Tunaelekea kuumaliza mwaka 2019, inawezekana kuna malengo ulishindwa kuyafanikisha na unabaki kujiuliza kwanini sikuweza kufanikisha malengo haya? Sasa usikubali mwaka 2020 kurudia makosa najua unajiandaa kupanga malengo mapya ya mwaka mpya 2020, then tumia au fuata kanuni hizi ninazoshare na wewe leo.Ni kanuni ambazo wengi waliofanikiwa wanatumia kupanga malengo. Mi pia nishawahi kutumia kanuni hizi na bado nazitumia na zimenisaidia sana kutimiza malengo na kuyapangilia vizuri, kwako pia inawezekana kufanya malengo yako mwaka 2020 kuwa kweli. Karibu ............................................................................. Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 https://www.tubebuddy.com/Gonline 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇 /channel/UCk-G 🔴Follow me on IG- https://www.instagram.com/zahir11gome ... 🔴Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 /watch/IdeBGj4SRE5SB ⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 /watch/EDmnNFzwqXvwn ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/4Q3OgNLNiv4NO ⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako 👉/watch/gL_XpCg-2MJ-X ⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA 👉/watch/8fyBmbjVyeTVB ⚡TABIA (9) HASI ZA KUACHA 2020 ILI UTIMIZE MALENGO/NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MAISHA 👉 /watch/4lAHTV6JqLkJH 🔴Background Music from ROSS BUGDEN-INTERSTELLAR - YouTube link 👇 /channel/UCQKG ... #malengo #malengo2020 #mafanikio

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17