المدة الزمنية 26:10

VIDEO FUPI: Hotuba ya JPM, Baada ya kupokea Ripoti ya CAG

بواسطة Global TV Online
4 048 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2018/03/27

VIDEO FUPI: Hotuba ya JPM, Baada ya kupokea Ripoti ya CAG Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 27, 2018, anapokea ripoti kutoka kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali, Profesa Musa Assad. Tukio hilo limejiri Ikulu jijini Dar es Salaam. Katika Hafla hiyo, Rais Magufuli, ametangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Kigoma Ujiji na Pangani baada ya kuandikiwa hati chafu kwenye Vitabu vya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa leo. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4