المدة الزمنية 1:26

Zaidi ya Wana - CCM 10,000 wachukua fomu za kuomba uteuzi kugombea ubunge, uwakilishi

بواسطة Azam TV
567 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2020/07/20

ZAIDI YA WANA CCM 10,000 WACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Magufuli amesema hadi leo Julai 20, 2020 idadi ya wagombea nafasi za ubunge na uwakilishi waliochukua fomu za kuomba uteuzi ni 10, 367 na waliofanikiwa kuzirejesha ni 10, 321 huku watu 46 pekee wakishindwa. #AzamTVUpdates #AzamNews #Uteuzi #UchaguziMkuu2020 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1