المدة الزمنية 4:56

MASKINI: MWAKINYO Ashindwa KUZUNGUMZA KIFO CHA MAMA YAKE, MPIGA PICHA WAKE ATAJA RATIBA ya Mazishi..

بواسطة Global TV Online
6 465 مشاهدة
0
25
تم نشره في 2021/12/23

MASKINI: MWAKINYO Ashindwa KUZUNGUMZA KIFO CHA MAMA YAKE, MPIGA PICHA WAKE ATAJA RATIBA ya Mazishi.. Mama mzazi wa Bondia namba moja Tanzania na Afrika, Hassan Mwakinyo anayefahamika kwa jina la Fatuma Hassan Siri amefariki Dunia jana Jumatano, Desemba 22, 2021 Sinza Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa takribani siku sita akisumbuliwa na uvimbe tumboni. Mpiga picha wake amezungumza na Global TV Online na kutaja ratiba ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo jijini Tanga. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 15