المدة الزمنية 4:36

Ngwair alichonifanyia sikuamini, Nilifuta Verse yangu - Fid Q

بواسطة LilOmmyTV
89 858 مشاهدة
0
676
تم نشره في 2018/05/28

Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani na kumlazimu kufanya mabadiliko. Ni follow kwenye mitandao ya kijamii. http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 73
  • @
    @GeraldGspackقبل 4 أشهر Many artist will never level up to Ngwea dude knew how to drop hits his talent was unmatched..CNN my favourite song
  • @
    @yaoboyrb8161منذ 6 سنوات Rest in Peace Albert Mangwair. We pray for you Hommie.
    Congrats to Lilommy kwa Kuperfom vizur katka angle yako.
    8
  • @
    @msaflus2492منذ 6 سنوات daaaah. kweli brother Fid hakuna asiye na mapungufu yake. 13
  • @
    @muganzababingwa2434منذ 5 سنوات Hiyo ni kweli sana kijana fid.q. nimekupata kama mm sijaona mpinzani Tanzania kama mangwear ukimuona niambiye. 2
  • @
    @severinaraymondanthony2133منذ 6 سنوات lala baba lala. pumzika kwa aman niko nyuma yako 8
  • @
    @andrew-kitwanambogger8242منذ 6 سنوات R.I.P ngwair "a.k.a Mimi bado inaimbwa mitaani kama karaoke " 5
  • @
    @fadhilimohamed630منذ 6 سنوات Sijapata msanii mpaka Leo baada ya kuondoka Albert. Nilikuja kuamini kama kile kichwa bongo hamna ngoma ya A.k.a Mimi. Na lazima kichwa kiwe vizuri Sana. Ndo utaelewa 1
  • @
    @alexlutengano687منذ 6 سنوات Noma Sana kichwa hiki saruti broo pumzika kwa amani 1
  • @
    @abbasamrani2586منذ 4 سنوات Ntakukumbuka maisha yng yote Albert Mangwear maana ngoma zako nakumbuka kipindi kile nipo kijana mdogo zilikua zinanisisismua xana yaan nilikua ctamani ngoma zako ziishe we ni zaidi ya msanii yeyote yule Tanzania hii 2
  • @
    @brightkarema4297منذ 6 سنوات We shared a name even the yr was born and the month R.I.P 2
  • @
    @amospambala9413منذ 6 سنوات ebwana ngoma yake ya kimya pale mshikaji ananikosha kinyama 8
  • @
    @jafarisintoo3743منذ 6 سنوات Ngoma kibao,
    of free style ever.
    4
  • @
    @santodelove4351منذ 6 سنوات Naimani atanizalia mapacha na sitijali bahati mbaya akiwa tasa naapa sitoweza kumuacha yote ni sababu tu she got gwan 5
  • @
    @amospambala9413منذ 6 سنوات ngwear mwenyewe alisema pengo lake halina spear. na nikweli mpaka sasa hajatokea Kama yeye tena 4
  • @
    @geraldmstaulo9819منذ 6 سنوات Sijui namsahihisha wapi Albert instine wa Hiphop ya bongo.
    Nakumbuka kila ngoma Ila kuna moja aliita International known
  • @
    @macmax7767منذ 6 سنوات alale pema Ngair one of the best no doubt
  • @
    @xaverysunday1886منذ 5 سنوات Toka team media Makambako town jamaa alikuwa fundi
  • @
    @innocentjackson8156منذ 6 سنوات Nakumbuka mistari kuntu toka kwenye ngoma ya she got a gwan 1
  • @
    @ahmadlitwe7190منذ 5 سنوات Fid mwanahesabati mwalimu wa hiphop ameongea jambo lililopo katika maisha waelevu wachache wataelewa 2
  • @
    @draqula4287منذ 6 سنوات nakumbuka ngoma ya mikasi manze bingwa wa hiphop bongo
  • @
    @leonardmbito6488منذ 6 سنوات Yani uyu jamaa kujikuta ana mistali mikali mc mkali .wakati kuna vichwa ad now anakaa vzuli tu
  • @
    @jameschanja8304منذ 6 سنوات RIP cow bama pengo lako hakiaka halina spare 3
  • @
    @sibiromallya5894منذ 6 سنوات CNN juuuuuu kesha kula bata
    Burudani ziendeleee cnn
    1
  • @
    @joshuawicklifu2876منذ 6 سنوات Pamoja na kufuta verse bado ulipotea mzee baba 15
  • @
    @phdhemedy5064منذ 6 سنوات yeye ametangulia nasisi tutafatia kwan ss ni vpolo kikubwa dua tu
  • @
    @tonymnyamatv8483منذ 6 سنوات Angekuwa hai wala Usingemsifia hivo wala usingesema kama ulifunikwa maana najuwaga unafiki wa wasanii wabongo, Kila siku tunasikia mabishano ya wasanii ooh flani nimemfunika badae akifa utasikia eti Fulani alinifunika. 1
  • @
    @ahmedmussa8231منذ 6 سنوات Hawatoweza albat mkali wengine wanacheza tu
  • @
    @feisalmhina7146منذ 2 سنوات Ngwair alikua anajua! Lkn kiuhalisia ngwair hauwezi Mziki wa kubanda, Farid anajua hiphop East Africa nzima hakuna