المدة الزمنية 6:53

EQUITORIAL GUINEA vs TANZANIA: WALIPOFELI STARS ni HAPA, ILIKUWA Lazima TUPOTEZE MECHI - UCHAMBUZI..

بواسطة Global TV Online
9 698 مشاهدة
0
46
تم نشره في 2021/03/26

EQUITORIAL GUINEA vs TANZANIA: WALIPOFELI STARS ni HAPA, ILIKUWA Lazima TUPOTEZE MECHI - UCHAMBUZI.. KUPOTEZA kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Afcon mbele ya Equatorial Guinea kumeifungashia jumla timu hiyo Kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika. Stars ilikubali kichapo cha bao 1-0 ikiwa ugenini ndani ya kundi J na kuifanya ibaki na pointi zake 4 baada ya kucheza jumla ya mechi 5. Equatorial Guinea wanafikisha pointi 9 zinazowafanya waungane na Tunisia wenye pointi 13 ambao wanaongoza kundi J na wemefuzu Afcon. Timu ya Stars chini ya Kim Poulsen imepoteza mchezo wake tatu na ina mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba dhidi ya Libya wenye pointi tatu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 19