المدة الزمنية 10:53

ZARI ATHIBITISHA TIFFAH KUROGWA/AMWAMBIA MAMA DIAMOND MUACHE MWANANGU WATAMROGA/HAMISSA AHUSISHWA

بواسطة BORA MEDIA
11 176 مشاهدة
0
107
تم نشره في 2020/08/10

#ZARI #HAMISSA #BORAMEDIA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 84
  • @
    @ayshabayun9014منذ 4 سنوات Safi sn bibi yk tiffah do something that makes you happy..love u zari❣ 5
  • @
    @zimuzorderaمنذ 4 سنوات Warogwe ndio mzuri ili waache kuwa nataja uchawi au kurogwa kila mara,ujinga mtupu tu. Ndo hivo wanaamshaga mizimu mahali zinalala zikisha wajia wanaanza id="hidden1" class="buttons"> kulalamika na kupatia ma pasta na ma sheikh kazi ya kuwaombea,eti mtoto atarogwa c hapo sasa ndo unawakumbusha warogaji wamroge,hata nami ningekuwa najua kuroga kama saa hiyi naanza kazi ya kumroga ndo Zari afunge mdomo wakukuwa nasema kurogwa kila wakati,au anafikiri waliorogwa wana raha yakurogwa?!nonsense. ....وسعت
  • @
    @joyanambuya3695منذ 4 سنوات HAO.WATU HAWAJIELEW..UTANI TU HUWO JAMANI ZARI.YUPO SAHIHI NA MAM DANGOTE YUPO SAHIHI HILA SS WATANZANIA ATUACHI KIHEREHERE SI TUWAACHE NA MAISHA YAO JAMANI id="hidden2" class="buttons"> FATUMA HATA KWENU HILO SWALA LIPO. MAM AU BIBI ANAWEZA KUMPEND MTOT MOJA ....وسعت 2
  • @
    @queennanalexabrembo7445منذ 4 سنوات Da tuma leo mm ni wakwanza naitaj lnk zenu jaman 1
  • @
    @felistersmejumaa5188منذ 4 سنوات Zari uzee wakusumbua zeeka pole na wacha kujipendekeza kwa familia
  • @
    @pamelaakinyi4769منذ 4 سنوات Kwani munamlazimisha mama dangote kupost mtoto wa hamisa 3
  • @
    @fofonadia3657منذ 4 سنوات Ndomana sipendi anakauli mbaya kwa watu
  • @
    @roseatieno6691منذ 4 سنوات Zari hawezi rogwa wakati yeye ndo mganga pamoja na mume wake marehemu . Hatareeee 3
  • @
    @ROSEROBERTROBARTمنذ 4 سنوات Zari hajataja mtu, kwani hamisa ni mchawi, nynyi mna mambo 6
  • @
    @mariyammariyam7209منذ 4 سنوات Wacha kuamini mambo ya kishirikiana ww mtoto wa kislamu na wajuwa kuna mungu iweje bibi kumroga mjukuu wake
  • @
    @fetychina3273منذ 4 سنوات Mh!diamond kuwakomoa zari awe wakwanza hamisa wapili ili wafyate mikia yao
  • @
    @hadijasaidi7709منذ 4 سنوات Jamani ukoo huu pasua kichwani huu udunia dunia huu utawapeleka pabaya wasiwaloge watoto wa bakharesa wamloge mtoto wa ndomo kazi jamani 1
  • @
    @justinjoshua1059منذ 4 سنوات Tuachini kelele,mama T hajamtaja mtu.mwenye atajiisi ndomchawi 5
  • @
    @tarsilalukas6505منذ 4 سنوات Aache uwongo.mama dai hata.akimchukia hamisa aisadii.yeye siyo mondi.amezaa na mondi ajazaa na.mama dangote.huyo zari anajipendekeza.hata daimond.akimrudia.ajue amisa yupo tu. 5
  • @
    @editakivuti5887منذ 4 سنوات Zari ni wa Freemason pamoja na Diamond,,,let us continue following ,hakuna kitu ya saitani ya bure
  • @
    @princessshannia4215منذ 4 سنوات Hii dunia hakika hamisa ana nyota mbaya ,yeye ni mabaya tukhaaa 6
  • @
    @johndieme6402منذ 4 سنوات Hamisa nimadawayakusema diamond amupede simurozikuwatu
  • @
    @llgg1042منذ 4 سنوات Mmmhhhhhh kumekucha
    Ila mm sijaona tatizo balitu kitu cha Mama dangote kumpost mjukuu sio tatizo bali nimapenzi ya mjukuu kwasabab zari ndo aliemfanya id="hidden4" class="buttons"> Diamond kuitwa baba kwahio nikawaida kumpost mtoto nikawaid
    Bal tu zari awe mpole kuliko kusem vibaya kwasabab hain maana
    ....وسعت
  • @
    @reymattasweety9440منذ 4 سنوات Yuko sahihi kusema atarogwa coz kuna macho mabaya yanayo mtazama na kuna midomo mibaya inayomsema vyote hivyo ni uchawi toshaaaaa.uchawi wa ndumba hausumbui id="hidden5" class="buttons"> coz huyu ana kuroga yule anakutibia.kwisha habari yake.lakini macho mabaya na midomo mibaya ufanye kazi kweli coz aliekudhuru ndie huyo anaetakiwa akutibie hapo chachaaaa ....وسعت 3
  • @
    @michelinemapendo6652منذ 4 سنوات Zari frimanson Mukubwa kapana mumewake kafara frimanson anasahau? Hamisa kapana wangapi?
  • @
    @simonitaagesti3657منذ 4 سنوات Washindwe kulogwa watoto wa bakharesa au mo wajee kumloga huyo mtoto kwa kipi huyu bibi sa nyingine anamajivuno sijui angekua Beyonce ingekuaje duh
  • @
    @azizasaleh6624منذ 4 سنوات Jamani akumtaja mtunina nyie ndo mnakuzamambo mmmh atri
  • @
    @junuferjinu1444منذ 4 سنوات Nyie mashabiki ndomna matatizo yy aja mtaja mtu mna jiisi 1
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 4 سنوات Kwani wewe tuma kwanini huseme amisa huko tanzania hakuna wachawi kilasiku amisa punguzeni umbea 1
  • @
    @mercyganim4057منذ 4 سنوات hiyo ni kweri kabisa maana wake wenza ni sumu. mimi niko na wake wenza na hatupendani kabisa. 1
  • @
    @julianacharles6014منذ 4 سنوات Ukimjuwa mchawi basi nawewe Mwanga unawanga nae mshenzi Huyo bibi
  • @
    @julianacharles6014منذ 4 سنوات Alijuwaje kama anarogwa kama Nayeye siyo mchawi
  • @
    @mariacassian7892منذ 4 سنوات Ndiooo mtamroga hasa maana nyota ya tifa sio ya huyo mtoto wa vi make up
  • @
    @michelinemapendo6652منذ 4 سنوات Zari frimanson Mukubwa kapana mumewake kafara frimanson anasahau? Sasa hamisa kapana wangapi? 1
  • @
    @marynoella1752منذ 4 سنوات huyo anaye kataliwa sikumoja atakuja kuwa wamana ndiyo mama dangote anasababu zake zakufanya ivo but ipo siku atatamani amu post nahitowezekana
  • @
    @bahatisunga1642منذ 4 سنوات Shoneni midomo watangazaji maana nyie kwa Umbea na uchonganishi hamshindwi hasa wewe Tuma
  • @
    @reymattasweety9440منذ 4 سنوات Watu mkisikia kurongwa mnafikiri mtu mpaka aende kwa mganga!!!kuna kurogwa kwa husda ambacho ni kitu kibaya kuliko uchawi wa husda inatokana na macho ya watu.Tiffa ni mtoto mdogo anapowekwa mitandaoni kwa sana kuna macho ya wengi yanamtazama sasa kuna macho mema na macho mabaya.endapo yakimpata macho mabaya huo ndio uchawi wenyewe.Tiffa wetu atadhurika.Asiwekwe mitandaoni Midomo ya watu na macho ya watu yana mchawiya bure mtoto Tiffa.watu kusikia kurogwa akili zao zote zinafikiria uchawi wa karumanzira tuuuu basi. ....وسعت 2
  • @
    @editakivuti5887منذ 4 سنوات Plz zari stop applying makeup to this kid utamwalibu ngozi ,, she is too young for this 1
  • @
    @chakupewafazili4074منذ 4 سنوات Mweye ndo munasema Hamissa muchawi kwasababu Zari ajataja mtu 1