المدة الزمنية 7:00

ALBINO ALIYEKATWA MIKONO AFUNGUKA WALINIVAMIA, NIMEFUKUZWA

بواسطة Millard Ayo
79 072 مشاهدة
0
269
تم نشره في 2019/11/21

Mariam Stanford (36) ni Mwanamke wa Kitanzania mwenye Ualbino ambapo amezungumzia tukio la kushambuliwa kwake na kukatwa mikono yake miwili mnamo Oktoba 17, 2008.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 146