المدة الزمنية 11:56

Hatimae RAYVANNY ampita HARMONIZE idadi ya subscribers,anashika namba 2 baada ya DIAMOND,tazama hapa

بواسطة Middle simba
11 139 مشاهدة
0
474
تم نشره في 2020/07/13

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #rayvanny #harmonize

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 143
  • @
    @sayianmadara7286منذ 4 سنوات HELL TO THE YES!❤️ I’m Happy for you RAYVANNY 1
  • @
    @neliusplatnumz3554منذ 4 سنوات Hatimae sasa wcb inabaki kama wcb waongonza kila kona wcb for life baby fire 28
  • @
    @officialmrtop1018منذ 4 سنوات RAYVANNY mkali now ana 1.84M akiwa ame Appload 506 Videos! Harmonize ana 1,83M akiwa ame Appload 665 Videos ! Vanny Kiboko 12
  • @
    @aldenyfude1738منذ 4 سنوات Rayvanny ni msanii mkubwa lakin nashangaa kwa nn huwa wanamtaja alikiba wakat anaanza diamond,harmonize,and then rayvanny 24
  • @
    @denisksylivester7846منذ 4 سنوات Rayvanny aongelew sana ila kwenye platform na mauzo ya mzki anafanya vzr zaid kulko harmonize.,Ila nahis konde boy anajua kutengeza kiki za kuongelewa kuliko Vanny boy 26
  • @
    @johnsilima1629منذ 4 سنوات Ni noouma na hata list ya wasanii wenye viewz wengi kwa mwezi huu lazima rayvany amzidi Harmonize 14
  • @
    @juniorcx0114منذ 4 سنوات Vivav boy Namkubali Sana
    Ntamsapot mpaka mwisho
    Tuungane tumsapot had amzid mbal Huyo mmakonde
    1
  • @
    @almasially6509منذ 4 سنوات Assume rayvanny nayeye angekuwa anatoa back to back kama huyo mla panya INGEKUWAJE???!?! 16
  • @
    @hassan0256منذ 4 سنوات Middle wewe Unaangalia YouTube tu lakini huko Spotify Ray Van anayo 430k Monthly listeners wakati konde anayo 78k so unaweza kuona kua Kimziki husus id="hidden2" class="buttons">an kwenye hizi platforms Rayvanny Ni mkubwa kuliko konde ila konde ni star tu but musically niwakawaida Sana. ....وسعت 24
  • @
    @emilymideva8783منذ 4 سنوات Congratulations vanny boy lv frm saudia Arabia #254 1
  • @
    @rashidnasoro1065منذ 4 سنوات Na Ndio Msanii wa Kwnza East Africa ndio pekee mwnye Tuzo ya BET 8
  • @
    @sinner6808منذ 4 سنوات Me nataka atoke wcb ndio washindane.but kama bado yuko wcb no need to compare them.ana walk na diamond shadow 5
  • @
    @Ryoof-qo7ifمنذ 4 سنوات Ila watanzaniya mwapenda sana kugombanisha sana hawa wasani wenu yani kuwafugiya chuki moyoni tena nyinyi watangazaji ndo mwapenda kukusha hizo mambo
  • @
    @speriasmohamed5604منذ 4 سنوات Cha kwanza harmonize hana content za kumshinda ray cha pili middle mwisho wa mwaka tunaombaa n kina nan wametowa kaz nying zaid mwaka huu cha pili daah diamond mwaka huu katoaa ngomaa moja tu daah 5
  • @
    @jeffs9017منذ 4 سنوات Like yangu wa kwanza acheni zenu Ray mbayaaaa 14
  • @
    @israelmsemwa7867منذ 4 سنوات Nawewe tunakupigania ufikishe 1M subscribers 1
  • @
    @tariqdasulley6759منذ 4 سنوات Bro middle Simba eeh! Fanya kuangalia na kwenye Platforms zingine uone jinsi gani Rayvanny anampita kwa kiasi gani Harmonize. Harmonize msanii mzuri ila id="hidden5" class="buttons"> kwa Rayvanny bado Sana lakini nashangaa hata uongeagi kuhusu Vanny kumpita Harmo ....وسعت 11
  • @
    @israelmsemwa7867منذ 4 سنوات Middle simba nakukubali nlikua nasubiri kama hujaonaaa
  • @
    @kaburaakbar4838منذ 4 سنوات Chui vanny boy uyo korosho niwa kushindana na lav lava tu 7
  • @
    @richlymoمنذ 4 سنوات Ngoja harmonaize achieee ngomaa mojaa anapitwaa kama upepo wakisuli suli tupo bize na ccm kwanzaa 1
  • @
    @ezapesambili2130منذ 4 سنوات Vvany boy kwakuwa kampita bas hatawoza kushushwa tena na harmonz 1
  • @
    @wilsonkampama5436منذ 4 سنوات Minilijua tyuu ila nkasema acha vitendo viongee haya sasa 24
  • @
    @orestehavyarimana5806منذ 4 سنوات Kumpita subscribe sio tatizo
    Mbn pako wanasi wakubwa tu Duniani na hawaba subscribes wengi hilo ni kawaïda
    Konde boy jeshiiiiiiii forever
  • @
    @laurenkalonga2286منذ 4 سنوات Ndo vanny boy wcb huo harmonz arijitoa kisa ajishindanisha na mond ila hato pata nafasi hio hongera sana vanny boy tuna wahidi tupo nyuma yenu
  • @
    @juniorcx0114منذ 4 سنوات Mmakonde hajui sema mpenda kiki tu nimtu anae penda awe anaongelewa sana kwenye mitandao tu kiki Ukoo wa hamorapa
    Ray vanny kwa kuimba fund sema tu hapendi kiki
  • @
    @eddyboycharming2474منذ 4 سنوات Nikona swali ,kwani kuwa na idadi ya subscribers wengine ndio inafanya msanii kuwa mkubwa ? 2
  • @
    @bravo3847منذ 4 سنوات Ray vanny msani mkali sana kwa ubali ukimlinganisha na harmonise. Sijui kwa nini anachukuliwa poa Tu? 7
  • @
    @enoughvove1513منذ 4 سنوات Man nguvu za harmo siza ry tefautisha kulelewa na kuwa boss wa Gengar mziki mzuri ni mzuri tu ata iweje kesho nipa zuri kuliko leo so acha kujizalilisha
  • @
    @christianfelix2490منذ 4 سنوات Dah et tumuache diamond ashindane mwenyewe
  • @
    @fumboog3285منذ 4 سنوات Kama mwanzo mwaga udaku middle simba wanangu wa wcb tupeane lek amaboko titititi amaboko 1
  • @
    @traffixfahm3368منذ 4 سنوات Middle simba mbona hautuambiii na kutupasha kuwa simba diamond platnumz kamnunulia ZARI the boss lady Bentely G Continental bana eeee Bonge la Ndingaa Middle simba 1
  • @
    @nasriashel5717منذ 4 سنوات harmonize mchumba yule bado mbosso atamzidi nayeye 4
  • @
    @yahayaplatnaumz7197منذ 4 سنوات Sisi ndy tm wasafi hamna kama sisi tutakuwa juu kila siku itwayo leo
  • @
    @abunaaally8498منذ 4 سنوات Harmonai kalala San ndoma ya maboko ndoimempa 1
  • @
    @stivumgao105منذ 4 سنوات Tusha kuzoea ww una maajabu kazi ya kuponda harmonize 1
  • @
    @johnsilima1629منذ 4 سنوات Middle tunaomba uanzishe battle la rayvany na konde sio kwa diamond maana rayvany anamzidi vingi harmonize maana hata tuzo anamzid
  • @
    @wasafiwasafi734منذ 4 سنوات Kama unakubali chui pig like apo chini 2
  • @
    @afterfull-time1348منذ 4 سنوات Rivanny ni bora kwa kila kitu kwa harmo sema tu media zinalazmisha kumkuza ila wajanja tunajua kuna weengi wa kutajwa kabla ya harmo yy aendelee kutumia id="hidden10" class="buttons"> mgongo wa babaake aendelee kutajwa na vimedia,ila tusisahau wote hao ni kwajil ya mond.. ....وسعت
  • @
    @dominikishilali194منذ 4 سنوات Una jua uyo kwa kua Yuko na smba ila aoige peke yakao
  • @
    @Travelling_Experienceمنذ 4 سنوات Diamond platnumz alivyo hongea na harmonize ccm https://youtu.be/oz4xWXBF3YI 1
  • @
    @mathayoakili1762منذ 4 سنوات Are you crazy bro why harmonize when he get more subscribe mbona amu tagazi. 9
  • @
    @ramsojunior2115منذ 4 سنوات wabongo mmenishinda asee, yan rayvanny kumzid harmonize imekuwa ongera kwake
  • @
    @vitusemmanuel9380منذ 4 سنوات Huyo vanny anatembelea nyota ya simba kama anaweza atoe nyimbo pekeake 1
  • @
    @mussaabobakar7537منذ 4 سنوات Lkn konde boy yeye pesa yote inaigia kwake uyo mwengine yeye anasubur mgao mjue sijui apate babu tale salma mkumbwa fela ofs ibak pesa ndoaje kupata yeye lkn konde pesa yote inaigia kwake moja kwa moja
  • @
    @sitofosiclassic4123منذ 4 سنوات Middle simba naomba ufikishe hii kipaji Wasafi kutoka kenya
  • @
    @abeltuyisenge4794منذ 4 سنوات Stop that middle how many months harmo has been with more subscribers than rayvan. Just wait to see how long he can take number 2 on subscribers .yeeebaba
  • @
    @danielkiroka6331منذ 4 سنوات Unajua nyie umunapotesa mda konde boy yuko kama yeye vanny boy yupo chin ya wcb nan mkal kama yeye mkal bac atoke wcb alafu washindane na jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii id="hidden14" class="buttons"> alafu ndio tuone konde ndio kwanz anamia 4 kwenye game lakin anawatemesha supu nyambafu kama yeye kidume atoke ajitegeme tunampa miwez 3 tu ....وسعت
  • @
    @ismailmahamudu8026منذ 4 سنوات Upuuzi tu,,
    Wizkid(star boy) ana 1.23M inamaana Vany boy ni msanii mkubwa kuliko Wizkid?
  • @
    @lamecksaimon6494منذ 4 سنوات Sawa kamzidi ndio, Je rayvany anapesa kuliko harmonize!!! Harmonize yuko juuu ya rayvany hata yeye analijua ilo.