المدة الزمنية 4:7

KILICHOMKUTA MWANAJESHI ALIEMUUA CHATU AFUNGUKA KWA UNDANI NINA UZOEFU NA NYOKA

بواسطة Millard Ayo
820 891 مشاهدة
0
4.3 K
تم نشره في 2021/07/10

Ukiambiwa utaje viumbe vinavyoogopwa duniani basi huwezi acha kutaja nyoka, na ikitokea ukakutana nae naamini hutoweza kumsogelea kabisa sana san utatumia jiwe na fimbo ili umuue , Kwa Askari wa Jeshi la Wananchi Private Edis Kolojero kwake imekua tofauti amemuua nyoka mkubwa chatu kwa mkono , japo alipata majeruhi. Video kwa hisani ya JKT

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 745