المدة الزمنية 1:32

Morrison Atia Fora tena Awavunja Mbavu Watoto

بواسطة BM TV TANZANIA
43 818 مشاهدة
0
215
تم نشره في 2021/06/25
عرض المزيد

تعليقات - 66
  • @
    @issahjrdelujin56333 years ago Jamaa yupo simple sana kama unakubaliana na mm gonga like twende mbele 35
  • @
    @rajabungereza87553 years ago Safi sana , anachokifanya Bm3 ni zaidi ya furaha 1
  • @
    @tadeimroso75723 years ago MORSON USPOMUEĹEWA UTAMUONA KICHAA. LAKINI UKIMJUA NI MTU MAKINI SANA, HONGERA MORSON 10
  • @
    @agent48classified403 years ago He brings charisma to the team and society....class! 5
  • @
    @edsonmunuo71123 years ago 🤣 🤣 🤣 dah morrison raha saana jmn amejikusanyia kijiji akaanza kukiimbisha very fantastic 1
  • @
    @mohamedrajabu83753 years ago Yanga wana haki ya kwenda caf kumdai Morrison mshikaji hatoi nafasi kwa mtu 1
  • @
    @ramadhanimtema42513 years ago Huu ndio u super star Kila ukimsema VIBAYA Mungu anamuongezea 🔥🔥🔥huyu jamaa ni noma nakumbuka Mbwana Samata alipokuwa Tp mazembe yote haya yalimkuta akiwa home watu walikaa nje kumsubili atoke 4
  • @
    @daudjombwe91803 years ago Morison n mtu mmj saf sana hana makuu hajion yan big up bro 4
  • @
    @mariapialakanje34463 years ago Dah Ndiye Morrison jmn anafurahia sana kuwa Simba ni vile tu napenda alivyo simple na kila mtu dah 6
  • @
    @scolabwana36103 years ago mwamba endelea kuitangaza simba vizazi na vizazi safi sana 2
  • @
    @beatricezacharia17373 years ago Jaman huyu molson anajua kutufurahisaha sana wana simba nakatuongezea mashabiki wasimba,ndio maana utopolo wanateseka ajili yake 1
  • @
    @barakalamson79663 years ago Hakika morissoni ametuongezea maxhabiki simba 6
  • @
    @komboomar82753 years ago Jamaa ana raha na maisha yke sana huyo mwamba yy anaishi popote tu 7
  • @
    @elizabeththomas24603 years ago Yn raha tuuu nikimuona BM ht nikiw na hasira uwa nafurah na vituko vyake 13
  • @
    @josephchare11833 years ago Natamani sana huyu binadamu anunue uraia wa Tanzania ili aishi huku maisha yake yote. 5
  • @
    @georgenorasco17053 years ago Hata km c shulen hata wakipta vjijin lazm watashangliwa n wananch
  • @
    @danielmbalwa93073 years ago Huyu jamaaa haishiwii vitukoo !kakusanyaaa kijijii kaanzaa kusepaa nachoo 5
  • @
    @abuumaryam1853 years ago dah huyu jamaa ana moyo wa simba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani raaaaaaaaaaaha 7
  • @
    @mcyudasicqo96103 years ago Morison nje ya uwanja,anasepa na kijiji 3
  • @
    @binkea79563 years ago Morison hajatulia kbs huyu buanaa,,😂😂😂 3
  • @
    @hildertharmhonyo42013 years ago 🤸🤸🤸🤸🤣🤣🤣🤣 wewe morison umetisha yaani nanenepa nikikuona 2
  • @
    @daudichawo2403 years ago Hii shule imevuna mashabiki wa Simba Kama wotee,🤔🤔🤣🤣🤣 4
  • @
    @jeridaishengoma25653 years ago Niwe mkwl namkubali mno BBM mpira c kuwa seriaz na mpira ty 1
  • @
    @monicampokwa4413 years ago Hyu atakuwa kalogwa toka alikotokea hko maana c kwa vituko hvi 1
  • @
    @wasemeabdallah76893 years ago 😂😂😂 hv wachezaji hawanaga walinzi kama wasanii 1