Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja mfanyabiashara wa duka la rejareja jijini Dodoma Amejikuta katika hali ya huzuni na kuanza kulia wakati akieleza kuhusu gharama za uendeshaji wa biashara ya sukari katika duka lake baada ya msako wa kuwabaini wafanyabiashara wanaokiuka agizo la bei elekezi ya bidhaa hiyo katika mkoa wa Dodoma ulioendeshwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Bei ya sukari yamliza mfanyabiashara Dodoma: