المدة الزمنية 3:43

Tumieni Jeshi la Zimamoto kumaliza majanga ya Moto

بواسطة SUA MEDIA
80 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/05/18

Imeelezwa kuwa ujenzi wa majengo yasiyo fuata taratibu na ushauri kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ni chanzo kikubwa ambacho kinapelekea kuwepo kwa matukio ya moto, ambayo yanatokea na kughalimu maisha ya watu nchini. Kauli hiyo imetolewa Mei 17, 2021 na Kamishna wa Utawala na Fedha kutoka jeshi la hilo nchini Mbaraka Semwanza, katika ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya zimamoto na uokoaji, ambayo yamefanyika kitaifa Mei 17 mkoani Morogoro, yakiwa na kaulimbiu isemayo “Shule zetu ni chimbuko la maarifa tuzilinde dhidi ya majanga ya moto”

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0