المدة الزمنية 1:15:24

SEMA Full Movie Swahili

76 547 مشاهدة
0
2.4 K
تم نشره في 2019/08/01

Kibaka wa mtaani katika harakati zake za wizi kwa bahati mbaya anaingia kwenye nyumba ambayo miaka miwili iliiyopita yalifanyika mauaji, akiwa ndani ya nyumba, mzimu wa Maria unammchagua na kumuonyesha matukio yote yaliyotokea ndani ya nyumba hiyo na kumtaka aseme ukweli juu ya mtu aliyehusika na mauaji hayo tofauti na watu wengine wanavyodhania. ​ Tazama filamu hii BURE mpaka mwisho kisha weka comment yako hapa chini. Directed by Timoth Conrad Production: Timamu Movies Production Tanzania/USA Contact us: 0714623966 or +1 214 793 7348

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1058