Goodnews ni kwamba wale watoto waliokuwa wametelekezwa na mama yao maeneo ya Kibamba Wilaya ya Ubungo wamechukuliwa na Serikali.Ambapo baada ya kutoa kipindi niliweza kuwatafuta Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wilaya ya Ubungo na kweli waliweza kwenda kufwatilia na hatimaye kuwachukua watoto wote kuweza kwenda kuwasaidia.Fwatilia hapa uweze kuelewa vizuri.
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah