@josphinedarani6203منذ 3 سنواتMasikini lulu mwenyezi mungu akufariji na mwenyezi mungu ailaze roho ya mama mahala pema peponi 9
@
@janemapoz6360منذ 3 سنواتPole lulu umewajua watu wako waonaokujali big up mwijaku,mama wema, wema ns fidw 2
@
@halimandinde5881منذ 3 سنواتInnalilah wainailah rajiun poleni sana mungu yupo pamoja nanyi 7
@
@saumusalimuhassan2499منذ 3 سنواتInnalilah wainailah rajiun, poleni sana wafiwa, Pole sana Lulu 9
@
@anjelinakasembe845منذ 3 سنواتMungu hasafirishe kwaamani na Mama yetu akapumzishwe kwa Amani mahali pema peponi jikaze sana Lulu 4
@
@fatmasaid7093منذ 3 سنواتInnalillah wainalah rajiun Allah ampe kauli thabiti nasi tulo baki Allah atujalie mwisho mwema ameen 5
@
@fredrickmatiku7783منذ 3 سنواتPole sana Lulu diva kwa msiba wa mama yake mpendwa Mungu ampe nguvu na uvumiilvu wakati huu wake mgumu roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi Amina 1
@
@jamilahrashed2642منذ 3 سنواتInnalillah wainnalillahi rajiuuun mbele yake nyuma yetu 8
@jumaathman5252منذ 3 سنواتINNA LILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden2" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi, Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira Nakupenda sana dadangu Diva ....وسعت4
@
@maryndullu1288منذ 3 سنواتNamuona mama wema,wema mwenyewe dadaake wema Nuru sepetu jaman msiba wameubeba Kama wao 1
@
@muzafarsharif9465منذ 3 سنواتwameenda kuuza Sura Tu wakijua media ztakuwa hapo 2
@
@peteryukunda9239منذ 3 سنواتWema nilivyomuonaga muda mrefu hadi sasa ana roho ya huruma mno mno,anajua kujali.Anavaaga uchungu wa mtu km wake jamani,Nakupenda sn Mpendwa.
@roudhamahmoud763منذ 3 سنواتMnapokuwa misibani mwa watu heshimuni sio mnafanya sehem za kucheka ovyo na kukumbatiana 2
@
@dottohamisi9844منذ 3 سنواتKuna watu wanacheka kama hawapo msibani 3
@
@fainajaffary4070منذ 3 سنواتWatu minywele waz kama wanaenda harusini yan misiba ya sasa hivi watu hawana khofu ya Mungu kabisa
@
@cheiknamouna2058منذ 3 سنواتUtadhani harusi mnakenyua nini sasa kinawafurahisha wengine mna mapengo kama Steve hapo
@
@aickatesha5829منذ 3 سنواتYani wabongo mnatia aibu mnakua Kama mnaomba matatizo ya wnzenu ili mkauze sura 1
@
@Bayothomusicمنذ 3 سنواتUkiwa katika shida angalia hii
منذ 3 سنوات♂️♂️diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music
> .
@
@jumaathman5252منذ 3 سنواتINNA LILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden5" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi, Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira Nakupenda sana dadangu Diva ....وسعت4
منذ 3 سنوات♂️♂️diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music
> .
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Tazama Maandalizi ya Kuusafirisha mwili wa MAMA yake LULU DIVA kuelekea TANGA:
HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA
pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden2" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi,
Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
Nakupenda sana dadangu Diva ....وسعت 4
> .
HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA
pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden5" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi,
Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
Nakupenda sana dadangu Diva ....وسعت 4
> .