المدة الزمنية 4:46

Jenerali Ulimwengu: Kinachoendelea serikalini, Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia

بواسطة JamiiForums
332 030 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2016/06/14

Jenerali Ulimwengu akiwa kwenye kongamano la kigoda cha mwalimu Nyerere chuo kikuu cha Dar es Salaam, amesema pamoja na hatua nzuri anazochukua Rais wa sasa, Mheshimiwa John Magufuli ambazo zimepongezwa lakini ukiangalia picha kubwa ni kwamba tumerudi nyuma kama miaka 50 kwenye demokrasia. Ulimwengu amesema ni kutokana na kufinya uhuru wa kujieleza na hususan kwa kufinya uhuru wa wawakilishi wa wananchi ndani ya bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ulimwengu kasema katika hili hamna kifimbo cha uchawi cha kujinasua isipokuwa mchakato wa katiba ambao ulichukua fedha nyingi kisha ukaachwa njiani na Mheshimiwa Kikwete. Ulimwengu ameendelea kwa kusema Mheshimiwa Kikwete anatakiwa kupelekwa mahakamani kujibu mashtaka kwa kusababisha hasara kubwa kwa serikali na pili kuzima matumaini ya wananchi na kuwaacha wanarandaranda ambayo inaweza kuleta machafuko baadae kama haitawezekana kutengeneza katiba ambayo itajenga mustakabali wa wananchi wa Tanzania.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 174
  • @
    @paulpeter7244منذ 5 سنوات Congratulations mzee for your high level of confidence, you have nothing to fear, I give you five stars 8
  • @
    @abhambomihambo6754منذ 6 سنوات I definitely agree with you Mzee&big up and this is freedom of expression but I'm not sure with the majority of Tanzanian whom are ignorent to accept your opinion,well done!! 5
  • @
    @plujorilugano9489منذ 3 سنوات Huyu ndiye Jenerali Ulimwengu mkweli na jasiri anayependa nchi yake,MUNGU akuzidishe maisha marefu 1
  • @
    @stevenmamba2464منذ 8 سنوات Very refreshing to see a leader speak the truth 12
  • @
    @abdulrahmansaliumalbry2615منذ 5 سنوات Waambie walio kuwa hawaelewi hongera jenerali ulimwengu. 1
  • @
    @juliusmassabo6595منذ 8 سنوات I just Loved the Confidence J Ulimwengu kaonyesha kuwa he is not a push over 9
  • @
    @calvinkitaly7935منذ 6 سنوات asante baba wamekuelewa.mungu atutangulie na atusimamie maana hakuna lisilowezekana kwa mungu. 1
  • @
    @ebenernnko3339منذ 5 سنوات Watu kama hawa awapatkani kirahisi hongera sana ulimwengu 1
  • @
    @titomwashuya6460منذ 3 سنوات Outspoken man very rare in today's world 1
  • @
    @deogratiasmakilika7267منذ 8 سنوات Kwa dhati kabisa, ipatikane katiba mpya itakayotoa dira ya Tanzania mpya ya vizazi vilivyopo na vijavyo! 5
  • @
    @hosearwechungura7164منذ 7 سنوات Ndio, tunataka ukwel, Gen. Ulimwengu asante sana, we love U for being patriotic! 7
  • @
    @akidasalim9798منذ 6 سنوات Mungu akuweke.General ulimwengu useme ukweli nchini mwetu.kweli tumerudi nyuma baba 1
  • @
    @annapeter4994منذ 6 سنوات Mzee Taifa zima linakusikia na linakuunga mkono.na tunakuombea ulinzi toka kwa Mungu mwenyewe. Unakubalika mzee 1
  • @
    @yusuphishengoma6306منذ 6 سنوات Duh, mzee Ulimwengu na mzee Mkapa nawakubali mno! Ujumbe mnaoutoa unahitaji uelewa wa hali ya juu sana kufaham mnachokusudia!
    Uwa mnaongea maneno id="hidden2" class="buttons"> machache (strong word) lkn ni shida kwa tulio wengi kupata maana halisi.
    ....وسعت 2
  • @
    @justinmkwanda4143منذ 6 سنوات PAMOJA NA HOJA ZAKE NZURI SANA ZENYE UZALENDO ATATENGENEZEWA KESI HII AWAMU YA TANO HAIWATAKII MEMA WATZ TUNAKANDAMIZWA MNO 1
  • @
    @ibramohamed3400منذ 7 سنوات safi mzee ulimwingu Tz inataka watu Kama wewe ili ikombolewe 2
  • @
    @shadrackmnjelu5285منذ 7 سنوات well done tunahitaji viongoz WISE kama ninyi☺☺☺☺☺☺ 1
  • @
    @malakigerald8586منذ 7 سنوات inasikitisha sana kuona serikali/mtu anawanyima watu haki yao ya kisheria na kikatiba.
    ombi langu kwa wanaharakati ombeni tafisiri ya kisheria id="hidden3" class="buttons"> juu ya tamko la katiba la kwamba kila mtanzania ana haki ya kufanya kazi halali kwa mujibu wa katiba,sasa mwanasiasa kazi yake ni siasa na sheria haimzuii mwanasiasa kufanya kazi ya siasa ndani ya mipaka ya tanzania pia sheria yavyama vya siasa haijaweka mipaka ya maeneo ya wanasiasa(watanzania) kufanya siasa ndani ya tanzania kama watafata masharti yaliwekwa na sheria ya vyama vya siasa na katiba ya nchi.
    Naomba hili lipelekwe mahakamani tupate tafsiri ya kisheria maana ni kinyume na sheria lakini na katiba yenyewe!
    ....وسعت 2
  • @
    @johngibson3089قبل 6 أشهر Natamami sana tz hii ingekuwa na viongozi angalau 10 wa kitaifa wa calibre ya Ulimwengu. Hata Mzee Mkapa amepata shule hapo, na imemuingia kabisaaa.. 1
  • @
    @sebastianngimba4850منذ 6 سنوات ccm naipenda sana kwakua nilikua katibu. lakini naichukia kwakua imejaa wanafiki watu wakujipendekeza wao ndioo huku tuna njaa, kazi hakuna vitisho kila kona. kwakuwa hajiamin 1
  • @
    @josephnchunga6554منذ 6 سنوات pole sana Mzee kila zama na wakati wake
  • @
    @fubanjenjele2632منذ 7 سنوات Namfananisha na Plato,Frederick Engel na Carl max 2
  • @
    @AliOmari-uv8hfقبل 9 أشهر Hongerasana mzee wapemafuzo watubana hajuwichochote mtuakieafundisha wanamuwa
  • @
    @ibrahimaboker9086منذ 6 سنوات Angekuwa ndio Rais wetu
    Nchi inge endelea mbele.
    Mzee Ulimwengu usikubali kufungwa mdomo tetea haki.
    2
  • @
    @tuyeverseonlinetv4144منذ 5 سنوات yes , tunao wazee wenye taswila ya nchi hii. Like hapa kama umemuelewa general 1
  • @
    @shalifuamuli1521منذ 6 سنوات uyu mzee inatakiwa hagombee urais 2020 yuko vizuri 1
  • @
    @kakuhassan4734منذ 8 سنوات Very expected fact, hakuna mjeshi zuzu shikamooo baba ulimwengu u got five star mzee 10
  • @
    @akidasalim9798منذ 6 سنوات Una akili sana Mr ulimwengu c ishii hapo bali nakupongeza sana kw kusema ukweli.Asante baba Generali Ulimwengu 1
  • @
    @michaelthomas4782منذ 7 سنوات huo ndio ukweli. maendeleo tuloletewa na uongoz wa mh jk yalikua maendeleo ya muda kuridhisha watz kwa muda. kama yangekua maendeleo ya kweli basi tusingetaabika namna hii kipindi hiki. BIG UP JPM 1
  • @
    @profftobe3702منذ 6 سنوات Walioba koo limekauka kwa speech ya ulimwengu! 1
  • @
    @staphordrichard1000منذ 6 سنوات ulimwengu anamaliza tu hutuba Mzee walioba anamuunga mkono kwa kumnywea maji mmeona 2
  • @
    @babujuve1464منذ 6 سنوات ninachosema nikwamba kama watanzania tungeweza kujitambua kama alivyo uyu Jenerali Ulimwengu Tusingekuwa tunachezewa na awa viongozi wetu wa serimari yetu. 1
  • @
    @abhambomihambo6754منذ 6 سنوات Mzee nakukubali na umelitendea haki jukwaa na kujuwa kuutumia uhuru wako wa maoni na kujieleza,wasomi na watu tusioshabikia vyama tumekuelewa lkn kuna id="hidden7" class="buttons"> hao wajinga ambao ndio wengi wetu itabidi tuwavumilie tuu,si unaona majibu yao!! ....وسعت 13
  • @
    @nkwabimayunga473منذ 7 سنوات wazee kama ulimwengu na warioba nihazina.mana watazania wateswa sana na watawala hawako huru tena nimateka bora wazee muwasemee watu ukitoa.maoni wewe mchochezi bora katiba na wao wakikosea washitakiwe 6
  • @
    @martincosmas3144منذ 7 سنوات mzee omeogea ila nsjuewa utapuuzwa au utaulizwa uraia hogera mzee 2
  • @
    @nelsonlema5367منذ 6 سنوات Tukipata watu kumi wenye kusubutu Kama jenerala ulimwengu Tanzania itasonga mbele 1
  • @
    @jamessway8184منذ 8 سنوات kwel baba upo sahihi ila wataelewa?kuhusu hiyo katiba ?namuona warioba Mzee wetu 5
  • @
    @mhlegusekambona2818منذ 6 سنوات Uungwana ni vitendo, kuongea na kuelekeza. Generally ni muungwana sana. Take care Generali they will pursue you kimyakimya
  • @
    @sultannchacha666منذ 6 سنوات Mzee Ulimwengu tunahitaju watu kama wewe 2
  • @
    @hamulimajeshi1512منذ 5 سنوات kumbe Bado nchini kwetu watu wanajadili hoja za msingi.!
  • @
    @daudimkwelaمنذ 8 سنوات Well Said. Jamaa kaongea point to point! Huyu jamaa ni mwanaharakati wa kweli sema ndo Siasa na utawala wa bongo unamzingua sana. Warioba hana shida kabisa id="hidden9" class="buttons"> kwenye hilo aliloliongea, Kama Utawala ungefanya kama Tume ya Warioba ilivyoshauri Leo hii tungekuwa na Katiba mpya. Wao (CCM) wakaja na Version yao ambayo sio pendekezwa ya Wananchi ndio maana ikakosa Baraka. Hapo Mkuu ndio anatakiwa Ajielezee and not Warioba. ....وسعت 2
  • @
    @eliasnsimba5976منذ 6 سنوات Ulimwengu ni MTU anayejiamini sana namkubali sana
  • @
    @sideniuskatula6616منذ 7 سنوات Nameipenda saana
    Naomba vyombo vya habali vimpe kindi kila mwisho Wa mwezi.
    3
  • @
    @japhetmkwizu8929منذ 6 سنوات Mimi naona hachochei ila ananyoosha palipopinda 1
  • @
    @shadrackmnjelu5285منذ 7 سنوات Kumbeee Urais ndo kila ki2 7bu many of them mko againxt na hyu jmaa xaxa kwann hamumbadlixhi
  • @
    @timbulosaid63منذ 4 سنوات Nasema hivii wanataka kulipeleka taifa ktk machafuko niwale wanaotaka chama kimoja kiongoze hao wajue wanalipeleka taifa ktk hali ngum sana
  • @
    @saidimilanzi6403منذ 6 سنوات kwa nini unashangiliwa na wengi? ni kwa sababu unaongea yaliyo ya kweli 1
  • @
    @samwelimashaka8997منذ 5 سنوات Du! We mzee noma kidogo lkni mbna kama mwana nani! Nikutoka moyini kwel?
  • @
    @oswaldpancras8353منذ 4 سنوات Bado tunapitiaga hizo facts, zipo hai kuliko awali.
  • @
    @ibrahimgwasma235منذ 6 سنوات tatizo mzee unaonesha upo upande gani wa kiitikadi
  • @
    @ramsoramso9273منذ 6 سنوات Uyu mzee namkubali sn uyu kweri ni mtanzania sio aya mangine ni mavamizi ya hii nchi aya 1
  • @
    @dazk7861منذ 5 سنوات ukisikia uanaume ndio huu,, sio kudindisha hovyo tu
  • @
    @koylaempire2135منذ 6 سنوات Kwani "DEMOCRACY" kwa lugha ya kiswahili lina tafsiri gani, Hilo neno ni la kizungu , sasa kwa kiswahili jee, tusione kwamba Hilo neno ni vyama id="hidden10" class="buttons"> vingi kama ngugu, kila moja ajitokeze kupigia kura anaymtaka Na kadhalika, sisi kwetu ujamaa Na kujitegemea linaeleweka vizuri sana watanzania wengi kama sio wote, lakini hili lingine ni matatizo sana, Na Mimi binafsi naona halina tija kwa jamii yetu Na maendeleo ya wananchi wetu kwa ujumla, Kwani tokea tupate uhuru Na hata kabla ya uhuru wananchi wetu walikuwa wanatumia Hilo , ujamaa Na kujitegemea, walikuwa hawa msaada kutoka sehemu yeyote ule, walikuwa wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya maendeleo ,Na hata wakati wakoloni wakitawala, kwanini hawakuwa Na Hilo ,"Democracy" Na sisi wazawa tungegombea viti serikalini ,sasa baada ya kupata uhuru ,ghafla unakuta mamboz kubadilika Na tunakuta, haki za binadamu, ma NGO kibao, Na Hilo Democracy linalosisitizwa sana hata na UN, sasa kabla ya uhuru Kwani UN ilikuwa haipo, lilikuwepo toka miaka ya arobaini, sasa mbona haki za binadamu hatukupata Na siye jamani, tafadhali ndugu zangu , angalieni maslahi ya nchi yetu Na la bara letu la Africa Bila kushawishiwa Na makachero hawa wakulipwa toka potea njia Na kuelekea walipo wenzetu wa ghuba.wasomi wangapi walikuwepo wakati tunapata uhuru, sasa hivi asilimia karibu kubwa wanajua kusoma Na kuandika ndiyo Maana utakuta simu za mikononi wana biashara kubwa kwetu ,tulipopata uhuru tulikuwa sio zaidi ya milioni kumi Tanzania yote, sasa tuna zaidi ya milioni hamsini Na tano, lenye wasomi kibao, Na hata wengi unaokuta wana pinga chama tawala wamesomeshwa Na serikali hicho kinacho tawala kwa sasa, badi naomba nyie vijana wa muhula wa sasa msihadaike Na hawa waliopotea njia Na mwekekeo , nyie malizeni masomo yenu Na kujenga nchi yetu kwa pamoja, asanteni, sii nia yangu kumkashifu yoyote Yule ila nimesemea la moyoni langu, kama limemuumiza yeyote nisamehe.asante ....وسعت
  • @
    @iddiathumani5965منذ 7 سنوات si uligombea cheo ukaambiwa si mtanzania?
  • @
    @katungenyanda6177منذ 6 سنوات Wewe si mtanzania sishangai kusema hayo
  • @
    @omarmussa177منذ 6 سنوات Anasema hakuna demokrasia yakujieleza mm nashangaa ila maneno kama hayo aliyoyasema ingelikuwa Uganda au Rwanda sijui ingelikuwaje ila ninavyofahamu demokrasia id="hidden11" class="buttons"> wengi wape wachache wasikilizwe hapa kwetu Lipo. Tatizo kubwa na wachache na wao wanataka wapewe ili wengi wasikilizwe hii huipati dunia nzima. ....وسعت
  • @
    @rommelmauma7273منذ 6 سنوات Ulimwengu, mwaka 1965 Tanzania iliingia mfumo wa chama kimoja sio wavyama vingi!
  • @
    @josephnchunga6554منذ 6 سنوات siasa za panda telemka zilikuwa zinawapa pesa si bure ndio maana mnaongea mpk mishipa inawa toka . siasa zenyewe ni mitusi tu mwanzo mwisho ,unaweza kutupatia id="hidden12" class="buttons"> takwimu ya siasa za majukwaani zilitusaidia nini kipindi chote hicho zilimaliza umasikini zaidi hizo siasa zinawafadisha ninyi mwanainchi wa chini alifaidika na nini. ....وسعت