المدة الزمنية 6:2

Mbunge Ataka Serikali Iruhusu Kilimo cha Bangi | Eka Moja Milioni 120

بواسطة CLOUDSMEDIA
99 893 مشاهدة
0
546
تم نشره في 2019/05/20

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo ameibua hoja ya umuhimu wa kuruhusu kilimo cha Bangi nchini kwa matumizi ya dawa. MSIKILIZE #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 61