المدة الزمنية 4:59

Watoto 8 wa Marais wa Afrika wanaoongoza kwa mvuto

بواسطة Millard Ayo
555 081 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2017/11/25

Hii ndio imetajwa kuwa orodha ya Watoto nane wa kike wa Maraisi wa Afrika wanaoongoza kwa uzuri.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 313
  • @
    @daprince7545منذ 3 سنوات Hata Mimi mtoto wangu ni mzuri mashaallah 3
  • @
    @ezekieledson502منذ 7 سنوات ,,,aaaaaa!! mtoto wa kagame aseee ndo m naona wa kwanzaaaaaa,,,,,au mnasemaje wadau 5
  • @
    @sophiajumah4808منذ 7 سنوات Wooiiiiii!!! wakawaida sana bora ht wa ruanda kidogo 4
  • @
    @lisamedy9439منذ 6 سنوات kagame nime mkubari ni mzuri sana ni namba 1 5
  • @
    @catherinemaina1797منذ 4 سنوات Ngina Kenyataa ndiye mrembo kushinda wote 4
  • @
    @luzigakapande6921منذ 2 سنوات Hakuna mzuri hapo Mzuri ni Mke wangu Mama Ana 1
  • @
    @rosemarybenjamin4333منذ 7 سنوات Uyu wa kagame uyu noma iyo shingo yake sasa mashaalh km twiga 9
  • @
    @januaryjohn7977منذ 7 سنوات on my side wa Kagame the first followed by Mswatiz daughter . 18
  • @
    @maberamainchurch9182منذ 5 سنوات Huyo wa Kenyatta nomaaa afaa kuwa namba moja 1
  • @
    @chandrnyoeliakim1006منذ 5 سنوات Mama yangu angekuwa mtoto wa Rais angewazidi wote, ni mzuri 4
  • @
    @florenciaearnest5241منذ 6 سنوات @Claus I love that. Everyone is beautiful 1
  • @
    @athonyfrancis8889منذ 7 سنوات Jamani namba 2 ndie mrembo alitakiwa awe namba moja 2
  • @
    @issaramadhani1867منذ 5 سنوات Mtoto Mkali na Mzuri ni Wa Paul Kagame Rwanda 9
  • @
    @frankkisamo2777منذ 7 سنوات namba 2 alipaswa kuwa wa kwanza bhana mtt mzur 1
  • @
    @rehemajohn2644منذ 7 سنوات uyo mtoto wa kagame ndio alitakiwa awe WA kwanza mzur mpaka kero 41
  • @
    @samiamaundi9529منذ 6 سنوات Angel kagame urimwiza cyane gose wote unawazidi
  • @
    @ramadhanichilumba3610منذ 7 سنوات Hapo labda angel kagame achana na hizo ngiri zingine 3
  • @
    @mdabemdabe9709منذ 3 سنوات Mtangazaji we namba ngapi aaaiiiiseeeee
  • @
    @silvamsophe4392منذ 7 سنوات Mm nimeona mmoja tu ndie mkali Wa Rwanda wengine hakuna kitu 1
  • @
    @khadijaarkam5701منذ 7 سنوات Mmmh kwahy kwetu tanzania ndio tumeanguka jaman mbona warembo kibao bahn
  • @
    @yasintakahamba1320العام الماضي Mtoto wa kagame angekuwa namba Moja maana nikazuri sana 1
  • @
    @asiazuberi2624منذ 6 سنوات Cijaona najikubali mm kwa nn nimkosoe mungu uumbaji wake 2
  • @
    @wahidamohamed9965منذ 7 سنوات duuu huyo wa mswati kweli mzuri na wa rwanda 1
  • @
    @princelywensely4787منذ 7 سنوات mh..! labda wa Rwanda nakubali, Iakini hao wengine ni wakawaida saaana 2
  • @
    @salvationsalvatory9097منذ 6 سنوات wa kwanza ni Mtoto wa Kagameeee! hawa watafiti ni waongooo 4
  • @
    @chwabizobk8160منذ 5 سنوات Kawaida tu jaman.. Co wazur kwa sura kiviiile
  • @
    @rashidmohdrashidmohdrashid5791منذ 7 سنوات waruwada mzur ndie alie faa awe wa kwanza bora na wa Kenya kidgo huyo namba1 duuuh 1
  • @
    @khadidjadjumaburundi1761منذ 5 سنوات Ningelikuwa mutoto waraisi mimi ndo nambar moja nimewashinda wote
  • @
    @shekilashekilaabudulha5038منذ 6 سنوات Yaan bora huyo wa pli lakn hao wengine ni shidaaaa 1
  • @
    @kingcopper_tzمنذ 7 سنوات mrembo wangu ni enji kagame tu hapo wengine wote hamna kitu 1
  • @
    @marymary4357منذ 7 سنوات Sura mbaya ni akina nani tuonyeshe sana kenya
  • @
    @tibajuma8396منذ 5 سنوات Wa kagame ndiyo mrembo wwngine kawaida sana 1
  • @
    @ngundengundengunde8117منذ 3 سنوات Uyo wazimbabwe anauzuriga tofauti yauzur nautajir jaman
  • @
    @semensalim9815منذ 7 سنوات we unaongelea utajiri au mvuto jaman mbona me cjakuelewa mtoto wakagame ndio namba 1 ww 2
  • @
    @zulfaomari7992منذ 4 سنوات Hakuna mzur hatammja hapo wote Sula kama kibwengo anatazama sizon 1
  • @
    @asiadotto1295منذ 6 سنوات me naona mtoto wa kagame ndo wa kwanza lkn uyu wa kwanza mmesingizia 2
  • @
    @maryamhussen4331منذ 6 سنوات mm cjaona uzuri jomon labda mseme matajir tuuu hao mlowataja ata Irene Uwoya yupo juu
    labda no 2 ndo mzuri
  • @
    @jameelamct6514منذ 7 سنوات Maraisi wetu hawana watoto wazuri Tanzania 9
  • @
    @princessaidal1130منذ 5 سنوات Wakagame jamani kawazidi wote,, alitakiwa ashike namba moja
  • @
    @abdulramadhan9928منذ 7 سنوات number 2 ndo wa kwanza na huyo wa kwanza ndowa 8 1
  • @
    @omarhamad6587منذ 3 سنوات Duh mbon Bora ata hao ambao so watoto wa Marais ni watembo zaid
  • @
    @nyererepaul2036منذ 7 سنوات mmmh mi hapa naona binti mzuri zaid ni wa Paul kagame hawa wengine hata mi nawazidi.mfyuuuu 2
  • @
    @khadijaamour7654منذ 4 سنوات Mbn mnachanganya habar urembo utajiri ,elimu kila mmoja ana kipaji chake hapo na si uzuri
  • @
    @ongeshabani8439منذ 2 سنوات Uyo mtoto wa kangame siyo mrembo ata kidogo , sema amjawai kumwona ana kwa ana tu
  • @
    @happinessmuhana1436منذ 6 سنوات wa kagame ndio wakwanza hao wengine wanachechemea 2
  • @
    @issaramadhani1867منذ 5 سنوات Wa Rwanda ndio Alitakiwa kuwa Wa kwanza
  • @
    @zachaaaamosy8320منذ 7 سنوات hahahahaaaaa sura ngumu kama wamelamba ndimu 1