المدة الزمنية 8:00

MHE LAZARO NYALANDU AELEZA CCM ILIVYOKUWA NA SASA NI TOFAUTI

بواسطة Chadema Media TV
49 191 مشاهدة
0
274
تم نشره في 2019/12/18

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 153
  • @
    @benwater4957منذ 5 سنوات I was praying and waiting with great thirsty for someone to be brave enough to speak this truth. Surely you have done me justice today Nyalandu. I just id="hidden1" class="buttons"> hope the people understand what you are talking about. Ni juu yao kusuka au kunyoa. Well done you. Can't wait. Watching this space, wow what a speech ❤ ....وسعت 4
  • @
    @isaackchambo2642منذ 5 سنوات Safi sana Kamanda Nyarandu,Lumba na vijana wao wataponda sana lkn huu ndio ukwelj na km sio ukweli kwanini mtumie Polisi.???kwenye chaguzi. 5
  • @
    @samuelmwambashi4168منذ 5 سنوات Unafiki mbaya sana!Mwanachama baba askofu anacheeeka!!!
  • @
    @dittokalole3286منذ 5 سنوات Watanzania rahaaa sanaa ushabiki kama wotee!!!
  • @
    @damascongongi1609منذ 5 سنوات Watanzania wa sasa sio wa miaka kumi iliyopita wameshajua mbivu na mbichi. 2
  • @
    @gideonkalumbu5220منذ 5 سنوات Hana namna, lazima aseme vile.gate la uongozi wake limefungwa. 3
  • @
    @damianmachira7535منذ 5 سنوات Hi ni nchi Kila mtu lazima atambue Tanzania ni zaidi ya Kila mtu. 2
  • @
    @mecksonsamwel2666منذ 5 سنوات Mtasubili saaanaaaa. ccm chama dume. 2020 magufuli anatosha hatuoni wakumpiku magufuli hapo wote vilaza2 4
  • @
    @josephnchunga1247منذ 5 سنوات Mmekwisha ninyi hamuwezi Ccm vichaa ninyi 5
  • @
    @makongorowassira6593منذ 5 سنوات Nnafurahi kuona angalau mnajipa moyo kiasi fulani 2
  • @
    @eaglecrown3872منذ 5 سنوات kwa maelezo hayo nyalandu ni jibu tosha kuwa Tanzania kuna demoklasia nzuli sana maaana ni jibu kuwa magufuli alimbwaga lowasa kihalali, JPM jembe letu ikulu alifika kihalali kabisaaaaa 7
  • @
    @mathiascharles5769منذ 5 سنوات Ndo tuseme mnajipa matumaini yakijinga 5
  • @
    @samwelmwaipopo1455منذ 5 سنوات James swai umesema nyalandu kasema kweli ,tatizo sisi watanzania ,tunapenda ushabiki tu, sasa je!!wewe hupendi ushabiki?kama wewe mkweli umesahau nyalandu id="hidden3" class="buttons"> aliyokuwa waziri wa maliasiri madudu yalivyokuwa hata utoroshwaji wa wanyama wetu?Kama faru,twiga?ndiyomaana huyu razalo aliyokuwa anamsikia Rais magufuri akitolea mfano wa ufisadi nchini hata wa twiga kutoroshwa nje huku waziri yupo tu,yeye razalo akaanza kuchukia Sasa wewe huyajui haya?Nani anafuata ushabiki mpaka hapa? ....وسعت 2
  • @
    @alutefabian831منذ 4 سنوات Hizo bang,i rudisha wanyama wetu bwege wee
  • @
    @samuelmwambashi4168منذ 5 سنوات Kuna watu wanajimaliza kisiasa kipumbavu sana.Chama kinakufa.
  • @
    @massawejacobمنذ 5 سنوات Kwa hiyo mishumaaa ikiwaka utarudiiiiii .mishumaaa Yake ikiwaka anarudiiiii
  • @
    @albertnshunju4172منذ 5 سنوات Wewe kibaka uliona hawezi kuiba tena chini ya MAGU 5
  • @
    @masachihorticultureunitcol711منذ 5 سنوات Rudisha twiga uliowasafirisha Kwa ndege kwenda nchi za nje. Sema wewe ukitegemea Magufuli akikunyima uwaziri ndio maana ukajiondoa 1
  • @
    @jamesswai6583منذ 5 سنوات Nyalandu Yuko honestly Sana. Tatzo watz hatupendi ukwel tunapenda ushabiki. Nyalandu nmemwelewa kinoma! 7
  • @
    @massawejacobمنذ 5 سنوات wapendwa tuweke akiba maneno yetu ! Tuweke akiba maneno yetuuuuuu .mlituimbisha nyimbo.
  • @
    @blandinamwarabu5025منذ 5 سنوات Nyie piganieni ruzuku tu msidanganyane
  • @
    @paulmorumbe5493منذ 5 سنوات Mnadai hakuna uhuru wa kujieleza Kama kuna watanzania wenye akili wanajua kuchambua pumba hizo dah bac wazir ulifnya nini kwenye wizara yako starehe tu 1
  • @
    @rinovarthiliwi1314منذ 4 سنوات HUYU NDIE MWANA SIASA BORA SANA HANA MAJUNGU NA HAJAWAHI ONGELEA MTU YEYOTE NDANI YA CCM NA NDANI YA CHADEMA.
  • @
    @paulommao7992منذ 5 سنوات aiiseee huyu LAZARO NYALANDU ni muungwana sana sana, nakupenda sana na naamini daima hautarudi ccm.
    asante sana kamanda.
    3
  • @
    @tumatuma6478منذ 5 سنوات huyu ndo walewale kina sumae na lowasa ukikaribia uchaguz tu wanahamia chadema kutafuta ufisadi kisha wanarudi muongo mkubwa
  • @
    @massawejacobمنذ 5 سنوات Kuinadi ccm kweny MKT WA chadema !!! Hii sio sawa .ya chadema yabakie huko na ccm yabakie huko .ukitoka chadema waachie yao na ukitoka ccm waachie yao ! Otherwise unataka kurudi ? Karibu Nyumbani pamenoga !
  • @
    @samsonmwijage1602منذ 5 سنوات Ulibanwa mbavu ndo sababu ulitoka ccm. Huna jipya unafurahisha kikao tu.
  • @
    @paulommao7992منذ 5 سنوات LAZARO TU NDO MWIZI CYOO, WAJINGA WAPO WENGI SANA SANA. kama mwizi mbona hawamshtaki na anadunda tu.
    WOTE MNAOKOMENT KISISIEM SISIEM nendeni chap id="hidden6" class="buttons"> mkasome kitabu cha mzee wetu Rais Beni Mkapa ambaye kwa dhati anatufundisha cc sote na si kutukana tu.
    ....وسعت
  • @
    @worldtechnology492منذ 5 سنوات Ivi NEC n chadema au ccm maana sielew me nahis watajitoa tena 2020 hawatakubali matokeo NEC nilisikia n ccm sasa sijui chadema wanaenda kumtoa jpm polepole amekufa au yuko hai hahhhaaahahaaha
  • @
    @peteropanga9703منذ 5 سنوات Jamani siasa ni maajabu.wajinga ndio waliwao..nasikitika sana watu kutumia jina la mw nyerere.
  • @
    @hawakassimu6120منذ 5 سنوات chadema ndio chama cha kupokea mafisadi ilimpkea lowasa sasa iko na huyu fisadi wa wanyama nyalandu kwendraaaa 1
  • @
    @samwelmwaipopo1455منذ 5 سنوات Nyalandu yote sema tu,ila unajutia kimoyomoyo uamuzi wako,ulizani utahama ccm na kuyumbisha chama lakini halihalisi umeiona ccm imara zaidi,na mwisho wako upo Kama wa sumae na lowasa 1
  • @
    @yassiniferuzi2867منذ 4 سنوات Acha kujifanya Kondoo wakati wewe ni Chui kwanza turudishie Twiga wetu
  • @
    @richardthobias5657منذ 4 سنوات Kati ya watu wanaopoteza muda, na nguvu zao ni ww nyarandu, hivi Tanzania hii nani atakupa kura ww? Jidanganye ndugu yangu huna ambacho unaweza kuambulia
  • @
    @peteropanga9703منذ 5 سنوات Hayo makofi yanatoka moyoni kweli? je leo akirudi CCM itakwaje? makofi yatapigwa tena?
  • @
    @hassanmirambo564منذ 5 سنوات Utofauti ni ile unanijua mimi ni nani imeisha hivi sasa ikitokea bahati mbaya nyalandu ukaniuliza unanijua mimi ni nani nakujibu kwa herufi kubwa wewe shahawa tu au wewe udongo tu na hunifanyi chochote pimbi wewe 1
  • @
    @piushappyness226منذ 5 سنوات Mwizi we lazima.uone tofauti umebaniwa shenzi zako .nenda kamwambie aunt ezekiel 1
  • @
    @georgemaji7915منذ 5 سنوات Alieiloga ccm ni WACHAWI WA GAMBOSH.ila kk.mchawi anaweza kumloga mtu mmoja mmoja.ila sisi sote.HAWATUWEZI.CCM IMECHACHA KK NYALANDU..wanajua na wanajishauri what next: MTUACHIE NCHI TUFANYE MAAJABU!!
  • @
    @madukaj.j.6999منذ 5 سنوات Nakosa cha kusema lkn Dhahiri huyo ana cha kujibu kuhusu twiga 5
  • @
    @errydeo8865منذ 5 سنوات CCM,inakuhusu nini wewe.CCM sio SERA..idiot 2
  • @
    @afropatriot7769منذ 5 سنوات Turudishie tembo wetu wewe na kinana mmeuza wanyama huko wee kuzuiwa mnasema mishumaa inazima hahaha
  • @
    @blandinamwarabu5025منذ 5 سنوات KUMBE NENO KUJIMWAMBAFAI NIMEGUNDUA LIPO CHINI CHINI
  • @
    @designdesign4426منذ 5 سنوات Hili kenge linaongea nini? njaa tu inalisunbua umefanya kipi ulipokua waziri nasasa unataka ufanye nini 1
  • @
    @yasinshaban4933منذ 5 سنوات Aliyeshibia jikon humkejel anayesubir dining room..!!!
    Et tulifundishwa uaminifu, uaminifu gan ulifundishwaaa..!!!
    Wale twiga veeeep?
    3
  • @
    @raymondkagaruki5529منذ 5 سنوات Unajipya ulinyimwa starehe ya kwenda nje ludisha tembo zetu 5
  • @
    @kaminyogemwachelwa9884منذ 5 سنوات Heri kuacha mali za udhalimu na kupigania ukweli.HONGERA NYARANDU 1
  • @
    @mrukerewe2100منذ 5 سنوات Huyu system ili mkataa so nazani magu akitoka madarakani huyu analudi ccm niamini mimi haya maneno yake tu toshaa tayali kuludi ccm 2
  • @
    @judaspantaleo9779منذ 5 سنوات Nikiangalia uso wako naona wanyama kadhaa waliotoroshwa 1
  • @
    @faustinekaniki318منذ 5 سنوات Hili jambazi la twiga bwana hata silielewi 1
  • @
    @mchungajiemmanuelmtui494منذ 5 سنوات Maaahira tuu ndio hayatamwelewa nyalandu ila nyalandu anaupendo wa dhati na Taifa letu
  • @
    @richardsanga7158منذ 5 سنوات Mwendawazimu huyo muza twiga wetu huyo 1
  • @
    @killianwambura9584منذ 5 سنوات Mpumbavu ww yaani unaropoka bila aibu fisadi mkubwa 4
  • @
    @zachariamaige1709منذ 5 سنوات Unaongea uhalo tu. waambie sasa na wenzio wawe wanasaini MATOKEO yanapokuwa tofauti na matarajio yao 3
  • @
    @jilalafumbokisabo3633منذ 5 سنوات Jaman HIV mbaya jamaa anaisha mwili na akili duuuu???? 1
  • @
    @lameckbalekere1962منذ 5 سنوات Wenyalandu shoga wewe kafilwe nawazungu 2
  • @
    @Felix72282منذ 5 سنوات Hapo anaongea nini huyu? Aseme tu ukweli kuwa aliona kasi ya JPM haiwezi 1
  • @
    @scayroad8500منذ 5 سنوات HUNA LOLOTE WE NI FISADI NDIO MAANA UKAKIMBIA KAA HUKOHUKO JAMBAZI 1
  • @
    @majosamalundi4016منذ 5 سنوات Kila mtu naona anakomenti twiga kama ushaidi upo si mpeleke makamani
  • @
    @musakavenuke6378منذ 5 سنوات Hiyo ni hasila zako za kunyimwa uwaziri,ustukane mkunga na uzazi ungalipo pili unalopoka tu je wale twiga mbona husemi?
  • @
    @charlesmurimi592منذ 5 سنوات Sanaa nyalandu, ccm wameisha baada ya kujichagua wenyewe serikali za mitaa na kutumia dola sana. Siasa ni ushawishi na uzalendo na kuenzi demokrasia. 3
  • @
    @halimamasai2234منذ 5 سنوات We rudisha twiga zetu huna lolote hata haya huna shenzi wewe 2
  • @
    @blandinamwarabu5025منذ 5 سنوات HASIRA YA KUNYANGANYWA TONGE MDOMONI lo ulitaka uwe Waziri kweli MSHUMAA ULIZIMIKA GHAFLA