Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa hukumu ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wafanyakazi wake 2 kwa sababu kuna baadhi ya vitu havijakamilika.
Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya mawakili wa upande wa utetezi kufunga ushahidi wao.