المدة الزمنية 11:29

RC MWANZA ALIVYOACHA OFISI NA KUKAA NJE KUHUDUMIA WANANCHI

بواسطة Millard Ayo
18 988 مشاهدة
0
67
تم نشره في 2017/09/06

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella katika kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Mwanza aliamua kutoka nje ya Ofisi yake na kusilikiza kero na matatizo ya wananchi waliofika Ofisi kwake huku akiahidi kuwafuata wananchi wa Wilaya ya Ilemela kutatua migogoro ya ardhi na matatizo mengine.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 21
  • @
    @veronicasarvatory9516منذ 7 سنوات Mungu akupe maisha marefu zaidi hapa duniani Amina 1
  • @
    @idrisarashidi4046منذ 7 سنوات safi Sana mheshimiwa mongela kwa kazi nzuri 1
  • @
    @mamafranjovlog72منذ 7 سنوات kazi nzuri sana baba Mungu akubariki kusaidia waitaji .haaaahaa ila mwisho kanivunja mbavu eti alokufa aje na cheti cha kifo alohai aje
  • @
    @faidamanoni2285منذ 7 سنوات we Fanya kazi wachini yako hawajirlewi 1
  • @
    @alfrednziku9075منذ 7 سنوات Wakuu wengine wote wa Mkoa waige mfano wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (Amos Makala); ambaye ana ratiba rasmi kwa mwezi mzima ikiwemo ratiba ya kuonana na kuwasikiliza id="hidden1" class="buttons"> wananchi wake!
    Hii aliipanga na anaifuata tokea alipoteuliwa
    ....وسعت 2
  • @
    @magorimagori9264منذ 5 سنوات huyu ndo jembe letu la Mwanza.tunakupenda na kukuombea sana.piga kazi brother
  • @
    @wilsonmasero5976منذ 7 سنوات mkuu wa mkoa huyu huwa namuelewa sana ana busara sana 1
  • @
    @adrianmallyakibona.352منذ 7 سنوات Wananchi kama wamekata tamaa hivi. Najiuliza Mkuu Wa mkoa hana watendaji mpaka a attend MTU mmoja mmoja? 2
  • @
    @jonasmjoseph9163منذ 7 سنوات Utaratibu angeliwaita Ofisini, kazi zuri ila utalatibu sio mzur Ongera Mkuu