المدة الزمنية 2:48:38

LIVE: JINA LA MAGUFULI LAPELEKWA MKUTANO MKUU CCM/DK MWINYI APITISHWA URAIS CCM ZANZIBAR

بواسطة Mwananchi Digital
15 338 مشاهدة
0
65
تم نشره في 2020/07/10

Kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) leo tunakuletea mubashara Mkutano wa Halmashauri Kuuu ya CCM(NEC) kinachofanyika jijini Dodoma ili kuweza kujua ni mgombea gani atakiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Urais Zanzibar. Tayari majina matano yalishapitisha hivyo yamechujwa na Kamati Kuu ya CCM na kubakia matatu ambayo yatapigiwa kura na wajumbe wa NEC ili kumpata mgombea wa CCM, Zanzibar

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 5