المدة الزمنية 7:25

Pilipili ya maembe | Achari ya maembe | Kutengeza pilipili ya maembe yakukaa kwa muda mrefu sana.

بواسطة Rukia Laltia
15 459 مشاهدة
0
218
تم نشره في 2020/09/19

#mapishiyapilipili #pilipiliyamaembe #achariyamaembe Website:rukiaskitchen.com Instagram: rukias _kitchen Facebook: Rukias kitchen Cookpad: Rukias kitchen Mahitaji:- Maembe 2 Masala ya unga vijiko 3 vya kula Chumvi Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula Pilipili za kijani za kuwasha vijko 2 Uwatu kijiko 1 cha chai Mbegu za rai kijiko kidogo Manjano kijiko chakula Mafuta kikombe nusu + vijiko 3 Maji ya ndimu vijiko 3 English recipe follow the link➡️ Mango pickle | How to make pickle Achar recipe| Spicy mango pickle recipe. /watch/suU2TJG9JQw92 For more swahili videos follow ➡️ /channel/UC9CY2wU1qjkzfajJyNf0d9w

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 32