المدة الزمنية 34:11

SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - )

بواسطة Azam TV
3 475 566 مشاهدة
0
7.9 K
تم نشره في 2018/12/23

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kuichapa Nkana FC magoli 3-1 katika mchezo wa maruadiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. Baada ya kuaga mashindano haya, sasa Nkana FC wanakwenda kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watalazimika kupitia hatua ya mchujo ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1024
  • @
    @khadijaahmad9539منذ 2 سنوات Jamani kama unaangalia 2022 like❤️❤️❤️ 112
  • @
    @ayoubfadhili4695منذ 5 سنوات this battle was like war of seven manusia,, i love simba from india 15
  • @
    @adammasanja1984قبل 3 أشهر Unforgettable match the best emotion, feeling 4 simba fans,love m best African giants SSC mnyama❤❤❤
  • @
    @dicksonaroka6961منذ 5 سنوات Ni wangapi bado wanakuja hapa kujikumbushia jinsi Nkana Fc walivyo kufa kwa mkapa December 23 2018.achia like kama tupo pamoja.2019.2020 26
  • @
    @mohamedidd3145منذ 3 سنوات What a Historical and Unforgettable match for Simba fans, Simba Nguvu Moja 24
  • @
    @sm5tvمنذ 4 سنوات Bado naiangalia mpaka 2020
    Kama na ww upo gonga like hapa
    56
  • @
    @emmanmwakuka4938منذ 5 سنوات Hii clip inanimalizia mb zangu maana si chokagi kuiangalia gonga like kama tupo pamoja wanasimba or Die 135
  • @
    @hatibukimbondile1392منذ 4 سنوات Simba is the football's icon .in Tz 16
  • @
    @wisekingtony6370منذ 6 سنوات Sema..simbaaaaaa alafu like. stage ni motooo 53
  • @
    @user-up8mj7mw2tمنذ 6 سنوات chama kwani ndo chama la SIMBA mm sielew jmn like kwa SIMBA # 221
  • @
    @agnessjohn8404منذ 6 سنوات nakukubali Sana unatangaza vizuri Sana mpaka nashindwa kuelewa wewe ni shabiki wa timu gani huna ubaguzi mungu akubariki Sana Love u 71
  • @
    @juliuskened4571منذ 4 سنوات Kama umeangalia highlights hii 2020 gonga like za kutosha 168
  • @
    @paulsengelemasengelema8950منذ 4 سنوات Kama upo unaitazama hii mwaka 2020 gonga like twenzetu 33
  • @
    @halkhaji4288منذ 6 سنوات marhaba buuuuuuu chama hii ndo simbaaaa usipite bila kulike 117
  • @
    @vicentmbise245منذ 3 سنوات Gonga like kama 2021 umeichekii ,,,simba forever 14
  • @
    @tulivu6377منذ 6 سنوات Kama unaipenda simba ngoga like
    Twende sawa
    150
  • @
    @asha_homedecorationsمنذ 6 سنوات Mnyama Simbaaaa On mtangazaji ni nomaaaaa 81
  • @
    @agnessjohn8404منذ 6 سنوات vyura wanateseka Asante mungu kwa ushindi huu mnono 48
  • @
    @halkhaji4288منذ 6 سنوات Simba rahaaaa msikereke kwa shughuli isiokua yenu kamanawe unaipenda simba like 31
  • @
    @maulakaroli8323منذ 4 سنوات Kama unaaangalia mechi hii kwa hisia Kali huku ukiifikiria game ya platnam kwa mkapa hapa January 6 gonga like twende na simba yetu 17
  • @
    @amedeuslyimo2315منذ 6 سنوات Pia kwa nidhamu hii ya mchezo wa simba tutafika mbali sana kilaa LA heri timu yangu simba sc inshallah.. 24
  • @
    @stewardmwanuke5268منذ 6 سنوات Hongeleni wachezaji wangu wa SIMBA kwakunipa raha japo tunamajonzi ya mwanachana mwenzetu alie fariki inauma Mungu ailaze roho yake mahara pema PEPONIY AMEEN 30
  • @
    @mwenyasamhando8262منذ 2 سنوات Mechi ya maisha yangu, mechi ya historia ya kuishabikia simba na mechi bora kwa upande wangu katika KLABU ya simba . Simba nguvu moja 14
  • @
    @sekeyifabian9517منذ 6 سنوات Waambieni wasije kichwa kichwa.This is Simba. 34
  • @
    @raiphodytzkaundatz6244منذ 6 سنوات Mtangaz mungu anakuona ety marahaba chama
    Ety magool kama haya yanalusiwa kweri
    75
  • @
    @popperkuch669منذ 6 سنوات Hakika kk haji manara upo vzr hongera zako
    Hongera kwa timu yetu nzm
    8
  • @
    @muddydamdeok5098منذ 6 سنوات This is Simba brother the great Team Of Tanzania 15
  • @
    @abdallahhassani1893منذ 5 سنوات kama unaipenda simba gonga like zakutosha 75
  • @
    @kingayo999منذ 6 سنوات simba akiona jini anazidi kunyanyua manyoa na kuwa mkali zaid this is simba kaka 51
  • @
    @ibrahimjuma8349منذ 6 سنوات Yaan we chama wewe c Wa Africa bwana unadanganya hujatokea uraya kwer! Yaaan Wa kwanza kukoment jaman like zang bas!!! 40
  • @
    @ferouzmasoud4741منذ 3 سنوات Asante Sanaa chama langu la SIMBA Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote 3
  • @
    @thomasnyarusanda2608منذ 6 سنوات Will done Simba,Bravo great Simba. Nkana wamepata taabu sana. Nana hamuwezi kukaa Jedi za Simba mlizopatia ushindi kwenu mje kupata ushindi kwetu,mwiko. Simba heshima. 16
  • @
    @prosperndonjekwa5143منذ 6 سنوات Kazeni buti Katika Ligi . Mtakamiwa sana . Kila time inataka kuwafungeni Ili isemme nimeifunga time kubwa 46
  • @
    @user-bi1pv8gp4vمنذ 6 سنوات baraka mbenja we ni next level thnx simba for simba for this 9
  • @
    @fredrickmangera9520منذ 6 سنوات Tripo C utawaua hao, kila goli umehusika. Congrats boe 9
  • @
    @djstone255tzمنذ 6 سنوات Asante Simba kwa zawadi ya funga mwaka 23
  • @
    @ferouzmasoud4870منذ 2 سنوات Sichoki kuludia kutazama game hii SIMBA Sc Raha sanaaa 2
  • @
    @amedeuslyimo2315منذ 6 سنوات Kuna watu wanaumia sana .. This is simba blaaza. Usipoikubali mbele ya kadamnasi lazima uikubali kimoyomoyo.. hongereni sana chama kangu kwa kutinga hatua ya makundi ....وسعت 7
  • @
    @barakajulius5938منذ 5 سنوات Baraka Mpenja wewe ni hatari,hauendani kabsa na mwili wako na jinsi unavotangaza,nakupenda mno bro. 8
  • @
    @officialamirionaire3731منذ 3 سنوات Naiangalia Leo baada ya simba kuifunga fc platinum ya Zimbabwe na kufuzu kutinga atua ya makundi 7
  • @
    @davidmchome949منذ 6 سنوات Goli la Chama litakufanya usahau shida zote za 2018.
    R.I.P Christopher Alex Massawe
    143
  • @
    @beghaezra296منذ 5 سنوات Huwa siwezi kuisahau hii game daaaa Simba ni hatari fire 2
  • @
    @magdalenapeter4851قبل 7 أشهر Nakaaga nikimisi kuona maajabu ya mnyama narudia mechi Kama hiz aiseee sijutiiikuipenda hii timu ❤️
  • @
    @wabumbuli2581منذ 6 سنوات Kama umemuona mkude akishika nywele kama wachezaji wa nkana gonga like yak hapa 86
  • @
    @mamohamed5914منذ 5 سنوات Wazungu wana sema this is simba brother I love this matche coz it's nice game 3
  • @
    @yorrammabugas5856منذ 6 سنوات Oooooohhh yeeeeeessss, kuna watu wanateseka, cjajua hapo mpenja alikuw anawaongelea wat gan, jmn naomb mnisaidie 25
  • @
    @agnessjohn8404منذ 6 سنوات siamini Kama kweli wewe mtangazaji huna timu unayoishabikia hapa tz au na wewe ni mmoja wa wale wanaoteseka nakupenda Sana mtangazaji Kwasababu sijaj id="hidden9" class="buttons">ua timu yako ni ipi maana kila anae funga unasifia kweli huo ndo utangazaji big up kwako simpendi kitenge ....وسعت 150
  • @
    @samwelhojatuba1314منذ 3 سنوات Kweli Simba inanikumbusha mbali Sana naomba waendelee kutufurahisha zamani Kila siku nikiangaliaga hii mechi nasema Simba no Bora Sana africa 5
  • @
    @dismashaule1631منذ 6 سنوات ivi macho yako yanaona kama mm simba raha sana 9
  • @
    @mohammediallykaboza5862منذ 5 سنوات Mo , kocha benchi la ufundi na wadau wengine bila kujisahau kama Tim mashabiki mungu asiyuingizie mgogororo acha wateseke zam yao moto haupoi respect simba 1
  • @
    @hemedbacco4719منذ 2 سنوات Simba nguvu moja.. Still watching in 2022 2
  • @
    @sonjon7483منذ 2 سنوات Tuliopoo hapa mwezi wa nane 2022 tujuanee kwa likee, wanaliaaa polee e asantee sana mpenjaa
  • @
    @adilcosmasالعام الماضي Mechi ilioweka historia ndani ya club ya simba⚽️ 1
  • @
    @peterbandah5560منذ 5 سنوات Yan hizi highlights kila nikirudia kuangalia huwa nashangilia kwa mzuka kama naangalia live vile.POLE KWA WANAOTESEKA.THIS IS SIMBA BROTHERS AND SISTERS 11
  • @
    @paulokiruwa9879منذ 3 سنوات Baraka mpenja uliitendea kazi mechi hii kwa utangazaji wako big up 2
  • @
    @shenymohamed3313منذ 6 سنوات SIMBA HATA WAKITAKA UBNGWA AFRIKA WANAWEZA!! NI KUJITOA TU KWA MOYO 116
  • @
    @amanioroma8806منذ 3 سنوات Leo tarehe 25 Oktoba, 2021 tunacheza na galaxy imenifanya nirudi hapa kuangalia hii match 3
  • @
    @Ram_1893منذ 3 سنوات Kuna mtu aliniambia kuwa kuna shabiki alimwambia Mkude Pigaaa
    Leo nimesikia vyema hiyo sauti
    MOJA#
    ❤❤❤
    3
  • @
    @africangorillaالعام الماضي kaka unaangalia hii mwaka 2023 piga like wana simbaaaaaa hata haturingi
  • @
    @zamzamrashid9534منذ 6 سنوات mabilionea yetu niboratukamaliziye uwanjawetu ili nass tuzidi kuwa timu bora imara nayenyekilakitu hongera simba hongereni mashabiki wanachama nawafuwasi wasimba tuwepamoja kwakila namna big up simbaaaaaaaa 3
  • @
    @omarmussa2325منذ 2 سنوات Dah mechi hii naikumbuka Sana ilikuwa baada mda mrefu simba ikatinga tena hatua ya makundi chama atakuwa katika mioyo ya Simba daima 1
  • @
    @ammarhedeb2464منذ 6 سنوات naitwa OMARY rashidi kutoka tanga chama utafungwa wewe magoli gani hayo like hopo bs 77
  • @
    @elizabethmkali5782منذ 6 سنوات Baraka mpenja unajuwa kutangaza mpira mungu akupe nguvu 2
  • @
    @hamisirashidi3518منذ 6 سنوات Yaan Huyo kes kabla yampila alkua añaiponda simba Leo baada yakidundo anaikubali kwel nmeamin anayekucheka Leo kesho atakuheshimu BIG UP SIMBA kuna aliye onewa 15
  • @
    @dgt6303منذ 6 سنوات Hii simba nmeielewa. Lakin zaidi leo nmeona mashabiki kama ulaya. Sapoti ya mashabiki haikuwa ya kitoto 15
  • @
    @mariapialakanje3446منذ 3 سنوات Dah safi Simba mkude asante sana kwa goli zuri 1
  • @
    @taysonibrahimmnyambugu8640منذ 6 سنوات Mamb ni fire je kunamutu anaumia km yup ajifanye km anajikuna 32
  • @
    @shaukatashiq137منذ 2 سنوات Mimi naangalia sahi ❤️❤️❤️❤️simba high
  • @
    @teklamahenge5212منذ 6 سنوات Kwa mara ya kwanza kumuona mcheza mieleka Patrick anashangilia 150
  • @
    @thomasshaila5990منذ 4 سنوات Nikiwa na umwa na huzuni huangaliwa mumechi huu wakati nalia na kupona kabisa .simba nguvu moja this iz simba.dawa ya corona .20/04/2020 6
  • @
    @annastaziaandrea9789العام الماضي Wakwanza mm kuendelea kutizama na kukumbuka ukubwa wa time yangu mungu ibariki simba mwaka 2023 tuwe na mwendelezo mwema, time yet ifike marina. 1
  • @
    @kelvinbadili2223منذ 3 سنوات Hii game ilikuwa bora sana na mpaka xaxa 2
  • @
    @wabumbuli2581منذ 6 سنوات kama unamkubal chama like muhmu tusonge kwenye makundi 360
  • @
    @amehassanrehanirehani5061منذ 2 سنوات Ah ilikua raha simba raha hii mechi tam san haitoshi na imepat mtangazaj mechi inasisimua I love you simba sc
  • @
    @khadijahali4837منذ 4 سنوات Jamani wale tunaoangalia 2020 kipindi hk cha corona tujuane 7
  • @
    @ibrahimmfundo8455منذ 6 سنوات Mashabiki hao wanaoishangilia nkana wamekuwa kama machoko 32
  • @
    @OmanOman-hr6cbمنذ 6 سنوات simba nakufa simba konk uwiiiiiii wanateseka uku mama weeeeeeeeeeee 5
  • @
    @elizabethjohn4549منذ 6 سنوات Simba hii jaman ni shidaaaaaa hadi mtangazaji wa TBC kasahau kurudisha matangazo studio 7