المدة الزمنية 13:46

JPM ALIVYOINGIA VIWANJA VYA BUNGE, AKAGUA GWARIDE

بواسطة Mwananchi Digital
4 337 مشاهدة
0
16
تم نشره في 2020/11/13

Hivi ndivyo shughuli za ufunguzi wa Bunge la 12 unavyofanyika katika viwanja vya bunge jjijini Dodoma nchini Tanzania, ambapo Rais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulifungua rasmi bunge hilo ili liweze kuendelea na majukumu yake

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4